Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
T14 Armata
 
Technology kubwa za marekani ukifiatilia zimetengenezwa na Muisrael
Oppenheimer -Nuclear Bomb
Albert Einstein
Elon musk
Nyie watu acheni ulay man hao watu wali lay foundation tu theoretically usisahau tech ni kitu dynamic Leo ukimfufua tesla atakuta Umeme umekuwa advanced sana
 
Kwani ukinunua F-16 kutoka marekani ukazitumia vitani, unakuwa umesaidiwa na marekani?

Mi nadhani Israel wananunua silaha zao nyingi kutoka marekani, sio kwamba wanasaidiwa.

Na kumbuka unaponunua silaha ndiye hutoa na mafunzo ya kuzitumia.

Ukinunua MIG-29 Kutoka Russia haimaanishi, unasaidiwa na Mrusi.
Chanzo cha mapato ya israel ni nini haswa maana kuendesha tu iron domes nchi yetu ingekuwa ICU. Achilia mbali kubonda mchi kadhaa ndani ya kipindi cha chini ya miaka 5

Huku mambo ya nchi yakiendelea kama kawaida
 
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Viwanda vya silaha marekani ni vya wawekezaji wayahudi wa Israel

Nchi ya Israeli ndogo kuweka manufacturing plants au industries

Wamehamishia USA

Ni vyao huwezi sema vya USA kule wamewekeza tu

Huwezi wazuia kupeleka silaha Israel au kuwauzia kwao Israel au kutoa silaha bure kuhami nchi yao
 
US ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..

Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..

US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...

Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..

Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..
 
Kwani ukinunua F-16 kutoka marekani ukazitumia vitani, unakuwa umesaidiwa na marekani?

Mi nadhani Israel wananunua silaha zao nyingi kutoka marekani, sio kwamba wanasaidiwa.

Na kumbuka unaponunua silaha ndiye hutoa na mafunzo ya kuzitumia.

Ukinunua MIG-29 Kutoka Russia haimaanishi, unasaidiwa na Mrusi.
Israel ni mshirika wa Marekani.

Unapozinunua hizo ndege, hawakuuzii kila kitu. Hawakuuzii siri zilizotumika kuzitengeneza. Hawakuuzii ndege zilizo sawa na walizonazo wao. Hawakuuzii capabilities zote.

Israel hana uwezo wa air to air refueling. Marekani inao huo uwezo.

Israel haiwezi ku sustain bombing kwa muda mrefu kwa kuzitumia hizo ndege bila kujazwa mafuta huko angani.

Na mwenye uwezo wa kujaza mafuta angani ni Marekani.
 
Back
Top Bottom