Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
Taqiyya ni uwongo, uwongo ni haramu, na chochote kinacho jumuisha kitendo kilicho haramishwa ni haramu.Taqqiyah ndio nini?
Alienda peke yake ndio sababu akashindwa, vita aliyo dai kushinda anakusanya mataifa 46 😆 😂Eti Marekani haijawahi kwenda vitani peke yake na Huko Vietnam alienda na Mama yako tu na hatujui Usiku ilikuwaje maana walikuwa wawili tu!!
Sasa kwa nini unafanya TAQIYYAH mchana kweupe kwa kutudanganya kuwa Marekani haijawahi kwenda vitani peke yake?? Waislam nyinyi ni waongo sanaAlie da peje yake ndio sababu akashindwa vita alicyo dai kushinda anakusanya mataifa 46 😆 😂
We kichaa sinimeisha kujibu uwongo ni haramu, mimi nani kakuambia niko 💯Je kwa Uislamu TAQIYYAH ni halali au haram? Maana waislamu wengi sana ni Waongo sana ukiwemo wewe mwenyewe!,,
Nani aliye sema US kashinda vita Vietnam mpa useme mimi Muongo.Sasa kwa nini unafanya TAQIYYAH mchana kweupe kwa kutudanganya kuwa Marekani haijawahi kwenda vitani peke yake?? Waislam nyinyi ni waongo sana
Huo ni msingi wa imaniHivi TAQIYYAH kwenu ni lazima?
Iran kisha mjibu hakuna nchi duniani inauweza wakupiga Iran's nuclear sites.Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
Labda yuko honey moon, we ukiona member la kislam halipo hapa ujuwe yuko jwenye bussiness trip au kwenye honey moon.Swahiba yetu @kasugi yuko wapi siku hizi kaka?
Nilikuwa nakuona una akili kumbe bure tu.Labda yuko honey moon, we ukiona member la kislam halipo hapa ujuwe yuko jwenye bussiness trip au kwenye honey moon.
Sio wakanisa ama ana fanya ushoga watalii wengi au yuko busy kiwatungia waislam uwongo
Waajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!
Kwa kuwa Taqiyyah ni msingi wa dini yenu endelea kufuatia kuwa Israel haijaipiga Iran wakati Iran wenyewe walikili hilo wewe Mmatumbi mwenzangu unabwabwaja ovyo ovyo tu!! Wakati mwingine uache uongo utakuja kuchom wa motoni na baba yenu ShetaniIran kisha mjibu hakuna nchi duniani inauweza wakupiga Iran's nuclear sites.
US ataibishwa vibaya sana ndio sababu unaona Trump hajashambulia Iran, wanaijua Iran sio mchezo wacheni zile kelele Israel alijidai kapiga viwanda vya kutengeneza Missiles zote zile ni propoganda tu, hakuna hata ndege ya Israel ilinusa anga la Iran.
Afghanistan,Iraq na Syria ni sawa na Iran,China na Russia ?Can US fight China, Iran and Russia at the same time?
The United States army, air force, navy and special units are quite adept and able when it comes to war-like situations, after having one of the most experienced combat troops in the world, who have served in battle zones in Afghanistan, Iraq, Syria and many parts of the Middle East.
Mkuu, ikitokea umekula kitimoto si unaomba toba ili usamehewe yanaisha?We kichaa sinimeisha kujibu uwongo ni haramu, mimi nani kakuambia niko 💯
Ndio mana ipo toba ukisema uwongo unaomba Mungu akusamehe, nyie hata mkisema uwongo Yesu kisha beba dhambi zenu.
Ukristo noma sana mnampachika madhambi Yesu tu, afu hapo hapo mnasema Mungu wenu.
Vichaa kweli nyie.
Waarabu gan hawamtaki.mzee. umelala wapi. Kuna washirika wa wa wazungu zaid ya waarabuMzungu asijali vipi wakati mshirika wao yuko mashariki ya kati amezungukwa na mataifa ya kiarabu ambayo hayamtaki.
Rambo first blood part 1Kwa
Akili yako kiduchu unadhani Magaidi wa Hamas hii ngoma watashinda!? Hizo ni ndoto za mwendawazimu zinakusumbua!!!Marekani haiwezi kuivamia
Kuna tofauti ya kuvamia na kushambulia!! Marekani itaishambulia Iran kama nchi hiyo italeta za kuleta!!
Nani aliye kuambia kila siku akili ziko 💯Nilikuwa nakuona una akili kumbe bure tu.
Sio kila mtu anafanya ligi za huo udini wenu,
Kila la heri.
Mara ya kwanza na kubaliana na kichaa.Waarabu gan hawamtaki.mzee. umelala wapi. Kuna washirika wa wa wazungu zaid ya waarabu
Wewe mjinga hebu soma wanacho andika wazee, kabla ya kurukia kujibu, jibu langu kalisome tena nilisema lini US alienda vitani peke yake akashinda. Alipo enda peke yake wapi kashinda? Hio Vietnam alishinda? Kichaa mmojaWewe ulisema Marekani haijawahi kwenda vitani peke yake sasa hivi unarukaruka kama maharage jikoni? Hasa kula matapishi yako hapo chini!!