Can US fight China, Iran and Russia at the same time?Uwezo wa marekano kuivamia Iran ni mdogo sana jeshi la Marekani ni dhaifu usidanganyike na muvi ....
Niamini marekani Iran atoboi ana chapika vibaya sana tatizo lenu mnadhani irani ya miaka ya 90 ndiyo hiiya sasa ...nguvu ya irani ya sasa ni mara 80 ya nguvu ya Iraq ya sadam hussein tena bado miaka 6 tu Iran itakuwa na nguvu kamili ya kupigamabomu hadi USACan US fight China, Iran and Russia at the same time?
The United States army, air force, navy and special units are quite adept and able when it comes to war-like situations, after having one of the most experienced combat troops in the world, who have served in battle zones in Afghanistan, Iraq, Syria and many parts of the Middle East.
ukilinganisha Iran na jirani zake okay, tuache ushabiki just because u treat USA as KAFIR;Niamini marekani Iran atoboi ana chapika vibaya sana tatizo lenu mnadhani irani ya miaka ya 90 ndiyo hiiya sasa ...nguvu ya irani ya sasa ni mara 80 ya nguvu ya Iraq ya sadam hussein tena bado miaka 6 tu Iran itakuwa na nguvu kamili ya kupigamabomu hadi USA
Hayo ma bomber ya kizamani naona anataka yakatunguliwe yaishe toka mwaka miaka ya 50 hadi Leo yameshapitwa na wakatiMarekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
Wewe ni mbishi wa kidini....subiri uone marekani utegemea sana nchi washirika tena ufanikiwa kwa zile nchi zisizo na backup ya nchi zenye nguvu ni ujinga kudhani marekani atashinda hiyo vita.ukilinganisha Iran na jirani zake okay, tuache ushabiki just because u treat USA as KAFIR;
COMPARISON USA AND Iran MILITARY POWER - Search Videos
Watch videos instantly on Bing—enjoy direct playback, discover related clips, and dive into trending content all in one place.www.bing.com
Eti poda! Tunanyoa hivyo hivyoHawa makafirs USA wanataka kumnyoa udevu Ayatollah Khamenei bila poda.Masikini kipenzi chetu Ayatollah!
Waandishi wa majarida ya israel wanaamini ni janja ya kidiplomasia ya iran ambayo watatumia kufanya mazungumzo hadi term ya Trump iishesijasema hivyo, ila ni US ndyo ili summon Iran for talks or face consequences, wa katii amri
Niamini marekani Iran atoboi ana chapika vibaya sana tatizo lenu mnadhani irani ya miaka ya 90 ndiyo hiiya sasa ...nguvu ya irani ya sasa ni mara 80 ya nguvu ya Iraq ya sadam hussein tena bado miaka 6 tu Iran itakuwa na nguvu kamili ya kupigamabomu hadi USA
mimi sina dini, na US almost kama hawana msisitizo wa kuji-adentfy kwa dini (huo ni ujima uliokithiri), ila niko objective nguvu unayoiamini ya IRAN dhidi ya US haipoWewe ni mbishi wa kidini....subiri uone marekani utegemea sana nchi washirika tena ufanikiwa kwa zile nchi zisizo na backup ya nchi zenye nguvu ni ujinga kudhani marekani atashinda hiyo vita.
Hizo ndege kwa sasa ni show of force, dunia ya sasa huwezi mtshia mtu B52s,The B-52 Stratofortress can reach a maximum altitude of 50,000 feet (15,166.6 meters). It is a long-range, heavy bomber capable of flying at high subsonic speeds at that altitude. The B-52 can also carry nuclear or precision-guided conventional ordnance and has worldwide precision navigation capabilities
😛ndyo uzitungue kwa vikombora ambavyo ni manually operated?
yanatumika sana, hata houths capability yao imekuwa obliterated, any way nisikukatishe tamaa kwa imani uliyonayo ndyo inakupa amani, kuwa IRAN ni fellow military power wa USAHizo ndege kwa sasa ni show of force, dunia ya sasa huwezi mtshia mtu B52s,
Hata aircraft carriers hivi sasa wanayatumia kama show of force, ndio maana houthis ni kikundi cha migambo lakini wana makombora ya kupiga battleships, juzi hapa wamepiga drone...yanatumika sana, hata houths capability yao imekuwa obliterated, any way nisikukatishe tamaa kwa imani uliyonayo ndyo inakupa amani, kuwa IRAN ni fellow military power wa USA
Siipendi Iran na viongozi wake. Ikishambuliwa na Marekani kwangu ni jambo la heri kabisa, lakini kwa Marekani ya leo chini ya Mhuni Trump, kwanza siamini kama Wamarekani watakubali kwenda vitani wakijua Rais ni Trump. Pili siamini kama Vyombo vingine Senate, Congress, Federal Court, National Security Council na wananchi watakubali Trump awaongoze kwenye hiyo vita ilihali wakijua HANA AKILI!Waajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!
Mh!! we unaishi dunia ya wapi, hata TZ hatutumii silaha za WWWIIHata aircraft carriers hivi sasa wanayatumia kama show of force, ndio maana houthis ni kikundi cha migambo lakini wana makombora ya kupiga battleships, juzi hapa wamepiga drone...
Inabidi kukubali ukweli dunia imebadilika, silaha zilizotumika WW2 kwa dunia ya leo ufanisi wake ni mdogo, na vifaa vya kijeshi na silaha za leo baada ya miaka 30/50 na zaidi zitakua hazina ufanisi...
Meli vita na ndege vita kwa dunia ya leo si kitu..
Wacha ubishimimi sina dini, na US almost kama hawana msisitizo wa kuji-adentfy kwa dini (huo ni ujima uliokithiri), ila niko objective nguvu unayoiamini ya IRAN dhidi ya US haipo
View: https://youtu.be/lHjRA-hwc54
Hukunielewa, nimetoa mfano wa WW2 kuaanisha miaka inavyokwenda na dunia inabadilika katika nyanja tofauti, siala zilizokuwa vizuri miaka 20 au 30 nyuma kwa leo hazitokua na ufanisi zaidi kama kipindi zinatoka...Mh!! we unaishi dunia ya wapi, hata TZ hatutumii silaha za WWWII
The United States has a significantly more advanced and powerful military compared to Iran. While Iran possesses a strong military, it is not on par with the U.S. in terms of technology, budget, and global reach.
Dege la 1952B52, Iran anakuwa ni mwali mchumba tu,
Iran-israel 2000km+,vyuma vilitumia dk 8,hiyo ndege 15k juu itachukua dk ngapi?The B-52 Stratofortress can reach a maximum altitude of 50,000 feet (15,166.6 meters). It is a long-range, heavy bomber capable of flying at high subsonic speeds at that altitude. The B-52 can also carry nuclear or precision-guided conventional ordnance and has worldwide precision navigation capabilities
😛ndyo uzitungue kwa vikombora ambavyo ni manually operated?
..factor muhimu hapo kwa any powerful military power ni..technology, budget, and global reach USA hapo wako vizuri kuzidiHukunielewa, nimetoa mfano wa WW2 kuaanisha miaka inavyokwenda na dunia inabadilika katika nyanja tofauti, siala zilizokuwa vizuri miaka 20 au 30 nyuma kwa leo hazitokua na ufanisi zaidi kama kipindi zinatoka...
Leo hii kuna silaha kama hypersonic mbayo inaweza kupiga aircraft carriers, thamani ya carrier ni kubwa sana ukizingatia inakuwepo team nzima ya kuendesha hilo carrier.