Habari wana JF
siku 3 zilizopita nilileta mkasa hapa kuwa i have girlfriend na inabidi nikaishi far away nae kutokana na sababu zilizopo nje za uwezo wetu .Namshukuru mungu tumeweza kuyamliza salama kabisa na tumeeweza kuongea na Pande zote 2 upande wa Familia Yangu na Yao kuna agreement tumeafikiana .Now we so happy Asante sana wana Jf walionishauri vizuri nashukuruni kwa ushauri wenu asanteni sana.
Na pia kuna ambao waliodiriki kunitukana nakusema mimi eti ni mwanafunzi na Hii habari meiona kwenye Tamthilia kwakweli nimeona bora nikae kimya na sikuwajibu chochotee, Na nyie pia mbarikiwe sana.
Am so happy with My love.. asanteni kwa ushauri wenu wana Jf
kwa wale walionidhihaki pia Mbarkiwe
mimi sio Mwanafunzi wa Form 2 i have 25 yrs Old.
I didn't lose a friends but I just Realize i newer had one(fo dem who insults me)
typing error mkuu iam 25 yrs old i think hapa ndo nilopkoseaaMkuu pia ongeza juhudi kwenye lugha ya malkia, inaonekana unaipenda japo yenyewe bado haijakupenda.
Ila tunajifunza kutokana na makosa.
typing error mkuu iam 25 yrs old i think hapa ndo nilopkoseaa
1. i have girlfriend
2. Now we so happy
3. Am very happy with My love..
4. am 25 yrs Old.
5. I didn't lose a friends but I just Realize i newer had one(fo dem who insults me)
Siyo hapo kila ulipojaribu kuchomekea kiinglish kuna kosa... Ila usikate tamaatyping error mkuu iam 25 yrs old i think hapa ndo nilopkoseaa
Siyo hapo kila ulipojaribu kuchomekea kiinglish kuna kosa... Ila usikate tamaa
sawaSiyo hapo kila ulipojaribu kuchomekea kiinglish kuna kosa... Ila usikate tamaa
AhahahahhSiyo hapo tu mkuu, karibia kila sehemu ulipoweka kilugha hicho.
Zote hizo zina makosa.
sio hapo tu mkuu fuata ushauri ulioambiwa tafadhali "... hii reply yako imezidi kudhihirisha kuwa kikristo bado kina kupiga chenga maana ijapo kuwa umejibu kwa lengo la kujisahihisha lakini umeshindwa kung'amua tatizotyping error mkuu iam 25 yrs old i think hapa ndo nilopkoseaa
UMAMAMwanaume ukitukanwa unapotezea, tangu siku ile umebeba yale yale matusi?
Wewe utakuwa na tatizo.
disappointingSiyo hapo tu mkuu, karibia kila sehemu ulipoweka kilugha hicho.
Zote hizo zina makosa.
Hata kiswahili chako ni tia maji tia maji. Komaa na shule kwanza!typing error mkuu iam 25 yrs old i think hapa ndo nilopkoseaa
Hahahah kweli kikristosio hapo tu mkuu fuata ushauri ulioambiwa tafadhali "... hii reply yako imezidi kudhihirisha kuwa kikristo bado kina kupiga chenga maana ijapo kuwa umejibu kwa lengo la kujisahihisha lakini umeshindwa kung'amua tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata kiswahili chako ni tia maji tia maji. Komaa na shule kwanza!
Haaaaa kweli kazi ipoHata kiswahili chako ni tia maji tia maji. Komaa na shule kwanza!