Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

Mbona QURAN iko wazi kabisa huko ndio katu huwezi kusogelea kwa mfano , hilo sualaa la kukabwa , ilifikia mahali mpaka mtume akawa muoga kwa Jibril anamuona kama adui , Mungu akamtoa hofu

QURAN 2:97
"; sema; aliyekuwa ni adui wa Jibril , basi huyo ndiye aliyeiteremsha Quran moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa waumini;"

hapa unachotaka utapata hofu ondoa, uislamu huko wazi kabisaaaaaaa
Uislam ni man made religion braza
 
Uislam ni man made religion braza

Ikiwa Mungu angalitaka kumfanya Muhammad Mtume na wa mwisho, angalileta mtu ambaye angalifundisha mambo yasiyoacha shaka. Lakini kwa yale tunayoyasoma katika Kurani na Hadithi zake ni dhahiri huyo sio Mungu hata kidogo:

1. Mungu anayewahimiza Waislamu kuwachukia wakristu au Mungu anayewaagiza waislamu wawapige wake zao.

2. Mungu anayekataa kwamba hana Mwana kwa sababu tu hana mke, wakati ana uwezo wote Wa kufanya jambo lolote.
 
Ikiwa Mungu angalitaka kumfanya Muhammad Mtume na wa mwisho, angalileta mtu ambaye angalifundisha mambo yasiyoacha shaka. Lakini kwa yale tunayoyasoma katika Kurani na Hadithi zake ni dhahiri huyo sio Mungu hata kidogo:

1. Mungu anayewahimiza Waislamu kuwachukia wakristu au Mungu anayewaagiza waislamu wawapige wake zao.

2. Mungu anayekataa kwamba hana Mwana kwa sababu tu hana mke, wakati ana uwezo wote Wa kufanya jambo lolote.
Kwa hoja hizi unaonekana kweli ubado mdogo kudadavua mambo wala huyu Mungu mwenyewe umjui
1.Kuna aya kabisa Mungu anaelezea kuwa WAKRISTO wako karibu na waislamu kwa sababu wana wanazuona tena ukiwaambia haki ni rahisi kuifata, kuhusu kupiga mke kwenye mazingira gan?i( biblia inatuambia mtoto wa kike wa kuhani akiolewa kama hana bikira AUAWE) , sasa kupiga unaona tatizo lakini kuua watoto wenu sawa

2.Mungu ana uwezo wa kufanya lolote lakini amejipambanua kwa sifa zake haitaji kumuingilia mtu kupata mtoto ndio maana anapotaka jambo yeye anasema tu mfano alisema kuwa Isa mara moja akawa, Mungu hawezi kuwa mtu kwa sababu ameshajipambanua hivyo, lazima ufahamu Mungu anaweza kila kitu lakini amejipambanua kuwa kuna vitu afanyi hata kama Anaweza
 
"Uwiano wa kimahesabu katika quraan ni mwingi sana ni wa kushangaza na pia uko juu sana ya akili za kibinaadamu( muujiza"

Kama uwiano Wa kihesabu katika Kurani ni mwingi sana na unazidi akili zenu ina maana ni mambo ambayo hayaelezeki. Sasa kama hayaelezeki wewe unajifunza nini na unafaidikaje?
😂😂
 
HUUU UNABII SI SAWA NA UMAARUFU W KISIASA.
-Mandela, Ghandi, Lincon, hao ni wana siasa na wanaharakati.
-Ama Mama Teresa ni mtawa wa Kikiristo, naye hawezi kuwa Nabii wala mtume.
-Yesu na Muhammad hawa ni watumishiwa Mungu waliotumwa na miujiza tele kwa ajili ya kuwaongoza watu na kuwapa Neno la MUngu.
Uislamu na Ukiristo ni dini kamili zenye Mafundisho ya Vitabu vyenye asili ya Mbinguni.
Hao wengine hawanaga vitabu wala hawajashukiwa na ujumbe wa Mungu popote pale wala hawajadai kitu hicho
Sijui wewe utawfanyeje kuwa Manabii wakati wenyewe hawakujinadi hivyo.
Ama Nyerere atabaki kuwa Baba wa Taifa la Tanganyika kwa vile alipewa uhuru na Muingereza, basi naaliitumia muda wake wa uongozzi kufanya mema aliyofanya , na kuteleza aliyoteleza ikiwemo UJAMAA.
 
Back
Top Bottom