mitale na midimu

 1. SANCTUS ANACLETUS

  Raisi Magufuli likatae pendekezo la kuwashughulikia mitume na lile la kujenga makanisa mpaka kwenye vituo vya usafiri wa Mwendokasi.

  Wataalamu wa mawazo na wanazuoni: Inaelekea watu wengine sifa za msingi na Kuu za Mungu hawazijui. Inaelekea kana kwamba baadhi ya dini hazijachukua wala kutenga muda wa kutosha kusoma Falsafa kabla ya kuamua kusoma Teolojia. Ingalikuwa wahusika waliwekeza muda wa kutosha kusoma Falsafa ili...
 2. SANCTUS ANACLETUS

  Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

  Wanahistoria, wanaharakati,wanateolojia na wanasiasa: Ni ukweli usiopingika kwamba historia ya Mambo mengi yaliofanywa na watu waliotutangulia ama imetusaidia katika kujirekebisha kutofanya makosa kama watangulizi wetu au imetusaidia katika kufanya mambo vizuri zaidi kuliko walivyowahi...
 3. SANCTUS ANACLETUS

  William Miller: Kama Yesu hakujua Hisabati au kutafsiri mambo bora angalikaa Kimya. Mbona siku ya mwisho wa dunia inakokotoleka kirahisi?

  Wanazuoni: Kichwa cha habari hapo juu sio kwamba ni cha uchochezi au kwamba kimelenga kupasukia watu kwa kashifa au kwamba ni kufuru kwa Mungu.La hasha, bali ni tafsiri ya kile alichomaanisha Mwanajeshi mmoja huko Marekani pale alipoibuka na Formula ya kukokotoa tarehe ya kurudi kwake Yesu...
Top