marehemu watoro

marehemu watoro

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
2,233
Reaction score
537
Padre aliwaomba waamini mchango kujenga ukuta kuzunguka eneo la makaburi. Mlevi mmoja akauliza, "Baba paroko kwani kuna marehemu yeyote aliyewahi kutoroka?"
"Hapana." Paroko akajibu.
Mlevi, "Sasa ukuta wa nini?"
 
ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha.....
 
Hah, yawezekana kulikuwa na mambo kama ya makaburi ya Kinondoni.
 
Ili kuzuia wafu wasiostahili kuzikwa kwenye makaburi hayo
 
Back
Top Bottom