Kwa nini usijiongeze hata uanzishe youtube channel urushe vipindi vyako vya kipekee, kama content itakuwa nzuri utaweza kupata watazamaji wa kutosha na kujiingizia kipato. Suala la ku suggest "ulidanganywa" na marehemu ni suala la kipuuzi unatakiwa uishi kuendana na uhalisia, kwa sasa Youtube ndio imekua central point ya maudhui hususani ya mtindo wa video, changamsha akili, ubongo usigande