Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
nmeangalia muvi nyingi sana za. marehem kanumba na kwa ufupi tu huyu jamaa nmemkubali nadhan angekua moto wa kuotea mbal lait angekua hai ila mbali na hapo kuna jamaa anaitwa jb muvi zake nlikua nmeziona chache ila wiki hii nmeangalia kazi zake kibao na nmemkubali kupita maelezo. kwa upande wangu wote nawakubali toa comments zako kuhusu nani unaemkubali
Utafananishaje uhai na kifo wewe?Sasa hivi JB mkali sababu yupo hai Kanumba alishakufa tunamkumbuka tuu.Labda useme kanumba na sajuki yupi alikuwa mkali.
Wewe umeangalia Movie ngapi mpya za JB toka Kanumba amefariki?Inawezekana wewe unamfananisha JB wa enzi za Kanumba ila sasa hivi ni 2013 tunaenda 2014 kwa sanaa yoyote hazitafanana.Sema wewe unamtetea Kanumba bcoz he was your number one.Lakini hata siku moja usifananishe kifo na uhai.Wewe kama huwa unaangalia movie sasa hivi KIBONGO BONGO wanajitahidi japo msafara wa mamba lazima kenge wapo aka mizigo ipo.Aaaaa wapi yaan pamoja na kanumba kufa lakin filamu zake zote hazijafa maana twaziona na filam za hawa wengine wote hazifikii za kanumba hata robo
Kanumba alikua anawachezesha wengine bana kwenye kuigizaa wanaonekana wanajuaaa lakin wako wapi sasa hiv wanagiza hovyo tuuuuuuuu
Wewe umeangalia Movie ngapi mpya za JB toka Kanumba amefariki?Inawezekana wewe unamfananisha JB wa enzi za Kanumba ila sasa hivi ni 2013 tunaenda 2014 kwa sanaa yoyote hazitafanana.Sema wewe unamtetea Kanumba bcoz he was your number one.Lakini hata siku moja usifananishe kifo na uhai.Wewe kama huwa unaangalia movie sasa hivi KIBONGO BONGO wanajitahidi japo msafara wa mamba lazima kenge wapo aka mizigo ipo.
basi kanumba till the end of the world.noooooo
Kanumba alikua nomaa si unaona sasa hivi bongo movie ilivyojichokea,wadada wamekosa fursa tena,kina wema wamefungua makampun jina tu hata hayana kazi,the great noma sema Lulu mbayaaaaaa jamani