Miaka ya nyuma hadi kufikia awamu ya pili ya utawala wa mzee ruksa; mzee Punch alikuwa maarufu na kuheshimika sana pale UDSM. Umaarufu wake ulitokana sera na mtindo wake wa kukosoa serikali na viongozi wake, kuadilisha mienendo ya ya wasomi pale chuoni.
Serikali ya awamu ya pili ilikosolewa sana na mzee Punch na ni kipindi hicho mzee Punch akayoyomea.
Je, zama hizi za uwazi huu na mmomonyoko wa maadili vyuoni sio wakati mahususi wa kufufuka kwa mzee Punch?