March 30, 1867: Kosa kubwa la Kihistoria walilofanya URUSI na kuwapa nafasi US kuwa Kiranja wa Dunia

Hivi hatuwezi kumbadili twiga mnyama nembo wetu na kumtumia mwingine ambaye ni aggressive(Hata Black mamba poa tu), mimi nahisi nchi yetu ipo kigoigoi kwa ajili ya huyu twiga. Ona wenzetu Eagle vs Siberia Bear.
Kama taifa tulihitaji watu wa kutuongoza kuanzisha harakati toka mioyoni kwa ajili ya taiga na si chama fulani. Inaonekana baada ya akina mkwawa,kinjekitile,mirambo,n.k.kuuwawa na wakoloni,taifa linakosa watu jasiri wa kulikwamua toka kwenye tope zito la ukoloni mambo leo.
 
Hivi hatuwezi kumbadili twiga mnyama nembo wetu na kumtumia mwingine ambaye ni aggressive(Hata Black mamba poa tu), mimi nahisi nchi yetu ipo kigoigoi kwa ajili ya huyu twiga. Ona wenzetu Eagle vs Siberia Bear.
Ha ha haa twiga wamekaa kuliwaliwa kweli bana
 
usa play the most important role in ruling the world yan wanapiga uku wanapuliza ko mpaka mushituke tayari ushapigwa vibaya
 
mi sishangai alaska kuuzwa maana ukicheki ipo karibu sana na marekani.warusi waliona kwao ni ngum kuwekeza kweny jimbo la alaska kwa sababu hata miundombinu ya usafiri ingekuwa ngumu.makampuni meng ya mafuta yameshindwa kuwekez alaska kw sababu ya gharama za uchimban ndo maan kiwango cha uzalishaji kinazidi kushuka tu
 
hakuna anayependa vita itokee kati yao haya mataifa mawili ndo maana inapobidi wapo tayari kukaa meza moja na kusikilizana,mfano pale syria
 
Nafikiri wakati wanauziana hawakujua kuwa wangekuja kuwa mahasimu
Nalog off
 
Nashukuru Kwa historia hii ya US/Russia
 
Mimi nina eneo langu hapa twn ninapakana na jamaa fulani lakini eneo lake ni zuri kibiashara la limepinda kiramani na kuingia kwangu nilimfuata mjumbe tukayajenga watu wa ramani wakaletwa basi jamaa akaachia eneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…