Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,398
Hivi Michael anakula au analiwa?Sio confirmed kwamba watajwa ni mashoga. Ila rumour has it kwamba HUENDA wakawa wanajihusisha na hako katabia korofi kutokana na vitabia flani wanavyovifanya. Kwan kuna alietegemea kuwa Michael Scofield wa Prison Break anaweza kuwa punga?
Daaaaah hizi mambo bwana?