GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Katika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.
Kwanza nchi kuongozwa na marais watatu, naona mfumo huu sijawahi kuona ulimwenguni, na kama ipo nchi moja ambayo inaongozwa na marais watatu basi Jaji Warioba atueleze nchi gani hiyo, kwa maelezo yake katika utungaji amesema kwamba amechulia mifano ya nchi nyegine ambazo zimefanya marekebisho wa katiba zao au kuandika katiba mpya na ndio huko wameweza pia kupata muuongozo, jee suali huu utaratibu wa kuwa na marasi wanne umepatikanwa wapi ?
Mapendekezo yetu ni kwamba Serikali ya Muungano iyongozwe na Katibu Mkuu na sio raisi, ili kuweza kupewa nguvu zao Rais wa Zanzibar na Tanganyika.
Pili Mambo ya nje na uhamiaji na Uraia hivyo hivyo yangerudishwa kwa Nchi shirika za Muungano, Yaani Tanganyika na Zanzibar.
Tatu Suala la ulinzi na Bank kuu halikadhalika kurudishiwa katika washirika wa muungano kusimamiwana wao wenyewe,
Nawakilisha.