IDDI M CHAMSHAMA
Senior Member
- Oct 14, 2012
- 168
- 39
hawana mda ,wanajua upuuzi tunaofanya
ile CCM halisi inayoamini itikadi ya Mwalimu haikuja - Butiku, Mwenyekiti wa kigoda cha Mwalimu Prof. Shivji pia alisepa, Mbaya zaidi hata mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya maoni juu ya katiba hii hii pamoja na wajumbe wengi hawakutokea. Hii inaonyesha tukio hili lilikuwa la ki chama zaidi na si la kitaifa, huu ni UFA mwingine mpya uliotengenezwa na CCM.Sherehe za Kukabidhi Katiba Inayopendekezwa siku ya jana pale Dodoma zilikosa watu muhimu (sio kisiasa ila kitaifa) watu hao ni pamoja na Dr.Salmin, Karume, Malim Seif, mama Karume (toka Zanzibar) Mkapa, Salim A.Salim, C.Msuya, Warioba, mama Maria Nyerere.
Ukawa, Prof.Lipumba, Mbatia, Mbowe.
Wenyeviti Jukwaa la Maaskofu, Shuraa ya Maimam-Ansar Sunna na wengine.
Mabalozi Uingereza, Ujerumani, Marekani.
Nini athari ya haya yote.
Mkapa alikuwepo acha unafiki.
we umemufananisha na MZEE WA MSTUNI.. aka KOMBAMkapa nimemuna Kabia. ila hakuwepo kwenye high table. angalia Kikwete anaingia utamuona.
kinachofurahisha hapa ni huu msuguano ni wa maccm wenyeeewe na vigogo wao. Sie twaangalia tu tuone mwishoe utakuwajeile ccm halisi inayoamini itikadi ya mwalimu haikuja - butiku, mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu prof. Shivji pia alisepa, mbaya zaidi hata mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni juu ya katiba hii hii pamoja na wajumbe wengi hawakutokea. Hii inaonyesha tukio hili lilikuwa la ki chama zaidi na si la kitaifa, huu ni ufa mwingine mpya uliotengenezwa na ccm.
mtahangaika sana tu kuweka wananchi sawa lkn ukweli umeonekana wenye busara zao wameikimbia aibu ya BABA riz. Hili zigo ni lake peke yake.mama fatuma karume alikuwepo alivaa nguo za pink na kamera zlimuonyesha wakat kikwete anasimulia habari za yule bibi wa pemba alosema uenyekiti kapewa na karume hakuna wa kumnyang"anya
ile CCM halisi inayoamini itikadi ya Mwalimu haikuja - Butiku, Mwenyekiti wa kigoda cha Mwalimu Prof. Shivji pia alisepa, Mbaya zaidi hata mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya maoni juu ya katiba hii hii pamoja na wajumbe wengi hawakutokea. Hii inaonyesha tukio hili lilikuwa la ki chama zaidi na si la kitaifa, huu ni UFA mwingine mpya uliotengenezwa na CCM.
binafsi sumaye alikuwepo. Ila mkapa maalim sefu, mzee jumbe, WARIOBA alitoa udhuru kuwa hatokanyaga ana shughuli muhimu sana hapa mujini.marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu sumaye pia hajaonekana dodoma..
Hii ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi?
============
Sumaye alikuwepoMarais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana Dodoma..
Hii ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi?
============
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana Dodoma..
Hii ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi?
============
Labda Karume lakini hao wengine ni wale wale , hakuna mwenye ubavu wa kuikosoa hiyo rasimu.