Marais wastaafu wakacha sherehe Dodoma

Marais wastaafu wakacha sherehe Dodoma

Benjamin Mkapa hakuwepo, yule aliempa mkono jk wakat anatoka ni afisa usalama
 
hebu acheni kuandika vitu visivyokuwa na uhakika ,fanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kuandika jambo, mbona sumaye alikuwepo
 
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana dodoma..
Hi ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi
sumaye alikuwepo,
 
Malechela, mkapa, mangula, msuya, kinana, salmin, salim ahmed salim, agustino ramadhan, butiku, apson, pengo, malasusa , shehe mkuu, shehe katimba, mzeevwa upako, kakobe, mtikila, AG wa ZNZ etc hawakuwepo. Hawa wote walikuwa kwenye majukumu mengine ya maana zaidi. Mtikila alikuwa anaandaa kupinga mgombea binafsi kuwekewa masharti ya kugombea na kuomba kukazia hukumu yaMahakama ya Africa kuhusu mgombea binafsi
 
Labda Karume lakini hao wengine ni wale wale , hakuna mwenye ubavu wa kuikosoa hiyo rasimu.
 
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana dodoma..
Hi ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi

Hamna tukio la kihistoria lile lilikuwa ni kusanyiko la maharamia na ma intarahamwe,hapa tz hama tena tukio la kihistoria na halitakuwepo.
 
Acha umbea sumaye alikuwepo, na pia unafikiri hawa wazee hawana majukumu mengine kitaifa na kimataifa??? Shughuli ya leo ilikuwa ndogo sana.

shughuli si ndogo kaka. ni kubwa na gharama kubwa saana na ulinzi mkubwa jeshi zaid ya elfu 40
 
Acha ushakunaku na ushambenga kiroboto msaga sumu Sumaye alikuwepo mwanzo mwisho...

Kuhusu mkapa na karume wamewakilishwa vyema wala kutokuwepo kwao hakumaanishi hawajaridhia....

mtalala nje kwa habari za kuokoteza mbulumundu wafitini nyie

...dada kwa taarabu nakuaminia!!
 
Wadau japokuwa jana niliangalia kwa muda mfupi Mchakato wa makabidhiano ya katiba ya ccm iliyooandaliwa na Sitta, Chenge,wabunge wengi wa ccm (ukiwaacha Lugola na Filikunjombe walioiasi) na mawakala wao, nilishtushwa kutowaona Mabalozi wa nchi wafadhili wa serikali ya ccm, wajumbe wote wa Tume ya Katiba na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa. Je, tatizo ni mimi sikuwaona au ni kweli hawakuwepo? Na kama ni kweli hawakuwepo;

Je, ndo tuamini kuwa watu wote hawa muhimu wamesusia katiba ya ccm?

Je, huu siyo uthibithisho wa taarifa kuwa mabalozi hawa walimwambia JK haiafiki katiba hiyo?

Je, hii haimaanishi kuwa katiba ya fisadi Chenge na mbabaishaji Samwel Sitta inapingwa vikali hata ndani ya ccm yenyewe?
Ninatafakari tu kwa sauti wala sina ugomvi na mtu ye yote.
Nawasilisha,
Aweda.
 
Mkapa hakuhudhuria hata mwezi March hakuhudhuria uzinduzi wa mbunge maalum la katiba. Nadhani huyu MZEE ana maono tofauti na ya magamba wenzake.
 
Sherehe za Kukabidhi Katiba Inayopendekezwa siku ya jana pale Dodoma zilikosa watu muhimu (sio kisiasa ila kitaifa) watu hao ni pamoja na Dr.Salmin, Karume, Malim Seif, mama Karume (toka Zanzibar) Mkapa, Salim A.Salim, C.Msuya, Warioba, mama Maria Nyerere.

Ukawa, Prof.Lipumba, Mbatia, Mbowe.

Wenyeviti Jukwaa la Maaskofu, Shuraa ya Maimam-Ansar Sunna na wengine.

Mabalozi Uingereza, Ujerumani, Marekani.

Nini athari ya haya yote.
 
Back
Top Bottom