MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 761
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana dodoma..
Hi ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi
Yaani kwa akili yako unatarajia watu wenye akili waende dodoma kuwasikiliza akina mpoto na Jk.