Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana Dodoma..
Hii ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi?
============
Wewe unaonekana ni wale wazushi waliokubuhu , sisi tuliokuwepo uwanjani na kushuhudia tulimuona Mkapa , wewe Mkapa unayemsema ni yupi kijana uwe makini kutamka usichojua.