MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana dodoma..
Hi ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi
Acha umbea sumaye alikuwepo, na pia unafikiri hawa wazee hawana majukumu mengine kitaifa na kimataifa??? Shughuli ya leo ilikuwa ndogo sana.
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana dodoma..
Hi ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi
Na Mzee Mkapa alikuwepo acha uzushi....
Mkapa alikuwepo na walipeana mkono na jk wakati jk akienda kupanda gari lake na kuondoka. Kama hukuangalia mpaka mwisho basi hata ukisema mkapa hakuwepo nisawa.
Mkapa alikuwepo.
Mkapa alikuwepo acha unafiki.
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana dodoma..
Hi ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi
Mkapa huwa haudhurii ujinga
Hata Mzee Aboud Jumbe nimemuona. Waache ushankupe.Acha ushakunaku na ushambenga kiroboto msaga sumu Sumaye alikuwepo mwanzo mwisho...
Kuhusu mkapa na karume wamewakilishwa vyema wala kutokuwepo kwao hakumaanishi hawajaridhia....
mtalala nje kwa habari za kuokoteza mbulumundu wafitini nyie
Acha ushakunaku na ushambenga kiroboto msaga sumu Sumaye alikuwepo mwanzo mwisho...

yule aliekkuwa anaagana na kikwete lilikuwa sanam la mkapa?
Tulia acha matusi wewe, hivi vijamaa vikipataga kazi serikalini basi hata akili inahamia huko huko
Karume anataka serikali 3 , hiyo iko wazi sana na kila mtu anajua .Na alikataa kutoa comment kuhusu huu upuuzi...kutohudhuria kwa karume kuna maana kubwa sana
Acha ushakunaku na ushambenga kiroboto msaga sumu Sumaye alikuwepo mwanzo mwisho...
Kuhusu mkapa na karume wamewakilishwa vyema wala kutokuwepo kwao hakumaanishi hawajaridhia....
mtalala nje kwa habari za kuokoteza mbulumundu wafitini nyie
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana dodoma..
Hi ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje ya nchi
Wengine ni malezi mabovu mkuu , hasa kama baba ni mlevi .Tulia acha matusi wewe, hivi vijamaa vikipataga kazi serikalini basi hata akili inahamia huko huko
Wengine ni malezi mabovu mkuu , hasa kama baba ni mlevi .