Anavyoongea sasaHapa Rais Uhuru alipambana sio mchezo. Maswali yanayochochea ubongo, ngeli kwa kwenda mbele, sio ze ze ze.
Mambo kama haya bora kubaki ndani usitoke maana usipokuwa makini unaweza kuambulia aibu, inapaswa uwe umejiandaa kujadili haki na sheria, uchumi, miundombinu, usalama, elimu, mazingira, ajira, vita dhidi ya ufisadi, matumizi bora ya ardhi, ukulima, sera za kimataifa, afya na huduma za kijamii, utalii, viwanda, mawasiliano, michezo na kila kitu.
Yaani uwe na uwezo wa kuitazama nchi yako na dunia kutoka kwa mtazamo wa sayari ya nje.
Huku kwetu hata wasiokuwa maraisi kama Tundu Lisu wanakimudu vizuri tu hiki kipindiHapa Rais Uhuru alipambana sio mchezo. Maswali yanayochochea ubongo, ngeli kwa kwenda mbele, sio ze ze ze.
Mambo kama haya bora kubaki ndani usitoke maana usipokuwa makini unaweza kuambulia aibu, inapaswa uwe umejiandaa kujadili haki na sheria, uchumi, miundombinu, usalama, elimu, mazingira, ajira, vita dhidi ya ufisadi, matumizi bora ya ardhi, ukulima, sera za kimataifa, afya na huduma za kijamii, utalii, viwanda, mawasiliano, michezo na kila kitu.
Yaani uwe na uwezo wa kuitazama nchi yako na dunia kutoka kwa mtazamo wa sayari ya nje.
Nakumbuka walimtwanga sana maswali ya alichokifanya kule Zanzibar
Nakumbuka walimtwanga sana maswali ya alichokifanya kule Zanzibar
Jpm namkubali anajua kucheza vyema nyumbani...Hapa Rais Uhuru alipambana sio mchezo. Maswali yanayochochea ubongo, ngeli kwa kwenda mbele, sio ze ze ze.
Mambo kama haya bora kubaki ndani usitoke maana usipokuwa makini unaweza kuambulia aibu, inapaswa uwe umejiandaa kujadili haki na sheria, uchumi, miundombinu, usalama, elimu, mazingira, ajira, vita dhidi ya ufisadi, matumizi bora ya ardhi, ukulima, sera za kimataifa, afya na huduma za kijamii, utalii, viwanda, mawasiliano, michezo na kila kitu.
Yaani uwe na uwezo wa kuitazama nchi yako na dunia kutoka kwa mtazamo wa sayari ya nje.
Jpm namkubali anajua kucheza vyema nyumbani...
Ingekua kingereza ndio kinajenga nchi pekee basi asingekua akifanya mambo ya msingi yanayoendelea kwa sasa..
Nadhan unafaham kwa sasa tunamiradi mingi inayotekelezeka ,Kama maendeleo yangekua ni lugha ya kingereza ndugu zetu Malawi au Uganda wangekua level za Singapore
Sent using Jamii Forums mobile app
Turudi kwenye mada yako kuu kuhusu lugha,Na kwann tuzunguke hapo ulimlenga Jpm kwakua ndio ambae ishu ya kingereza tunajua hakijakaa sawasawa kama ambavyo maraisi waliopita walikimudu!!Hehehe!! Mbona umejishtukia, nani amemtaja JPM na miradi yake? Kama vipi basi akubali awekwe kwenye hicho kiti moto ahojiwe kuhusu hiyo miradi, achague tu hata Kiswahili. Hao kwenye hicho kipindi huwa wanatafiti sana kabla kukuweka kiti moto na hawaogopi kukuuliza chochote, maana kwa Tz huko sasa hivi nyote mumelazimishwa kuimba mapambio, naona mtu mmoja Zitto ndiye amejitoa mhanga anawaumbua tu.
Yaani mumefikia kiasi cha kuagiza Watanzania wakamatwe kisa walipiga picha za barabara mbovu....duh majirani.
Turudi kwenye mada yako kuu kuhusu lugha,Na kwann tuzunguke hapo ulimlenga Jpm kwakua ndio ambae ishu ya kingereza tunajua hakijakaa sawasawa kama ambavyo maraisi waliopita walikimudu!!
And hey nani kasema kua kila mtu anaimba pambio la sifa? Wako watu wanaokosoa serikali non-stop daily wewe huwajui...japo wanakumbana na mazingira magumu lakini ndio kwanza wamefungua turbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kumshuku "zi laiti tlaki" ?Jpm namkubali anajua kucheza vyema nyumbani...
Ingekua kingereza ndio kinajenga nchi pekee basi asingekua akifanya mambo ya msingi yanayoendelea kwa sasa..
Nadhan unafaham kwa sasa tunamiradi mingi inayotekelezeka ,Kama maendeleo yangekua ni lugha ya kingereza ndugu zetu Malawi au Uganda wangekua level za Singapore
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa wote Ni wasaka tonge, tena wametufundisha kitu kizur sana msimu huu kuliko msimu wowote ule...Dah nimesoma sehemu Zitto mumemlambisha kosa la uhaini, balaa nadhani atakoma hataongea tena, itabidi aingie kwenye kwaya ya mapambio sasa hamna tena. Kwa kifupi upinzani Bongo ndio basi, naona wamehamia kwenda CCM karibu wote, Mbowe amebaki mpweke, naye aamue aimbe mapambio ili nyote muwe kimoja.
Court finds opposition party leader Zitto Kabwe has a case to answer
The Kisutu Resident Magistrate’s Court has found the Kigoma Urban Member of Parliament, who is also the leader of Alliance for Change and Transparency (ACT)-Wazalendo, Zitto Kabwe, with a case to...www.thecitizen.co.tz
Wanasiasa wote Ni wasaka tonge, tena wametufundisha kitu kizur sana msimu huu kuliko msimu wowote ule...
Kampeni zao zitakapoanza mpaka kura utaona hali itakavyokua,kama mwaka 2015 kwa muamko ule bado waliopiga kurA walikua milioni 8 kati ya 18 waliojiandikisha sasa tegemea mwaka huu kura watakaopiga hawatazidi milioni 5 na hata mikutano yao sijui kama watu watahangaika nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine na kiingereza hawajui labda BBC Swahili wapambane