Marais wa Africa na sifa za kishamba

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Idd Amin aliongoza kwa kupenda sifa, alitaka aitwe,profesa, Dr,Alhaji,na n.k,Nyerere alikuwa kiongozi pekee mwenye hekima kubwa,pamoja na Elimu yake hakupenda kuitwa Dr zaidi ya Mwalimu.
Elimu ya Obama ni kubwa mno,(Obama ni profesa) lakini huwezi kusikia kaitwa Dr.
Mtu akiwa Rais, anakuwa mfalme yaani hakuna cheo kingine cha juu ktk taifa kinachomshinda Rais wa nchi,sasa ukisema tu " Rais Clinton " inatosha mno,kuliko kusema " President Dr Clinton " wala haipendezi,ni sifa za kishamba kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi sisikii wakimuita lile jina la Rais Dr.J.K
 
Ni Ushamba sana.na Si kwa vyeo vya kisiasa tu.. ni Jamii nzima..
Hao Wanamichezo kujipachika Majina kama Messi,Adebayor,Boban..nk
musicians nao Wanajiita Kocha wengine wanajita Marais na Vyeo vingine vya kijeshi..Ushamba tu.
Huyu Dr. Mwenyewe anayesifiwa Lugha inamsumbua sijui hayo masomo ya science kama aliyaelewa,
Afadhali ya Mshamba aliyezaliwa Mjini kuliko Dr. wa Ushambani..
 
Wengine Dr. Za kupika Wanataka waitwe Mpaka hata Prof. Nafikiri wanatamani hata kuitwa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Ushamba sana.na Si kwa vyeo vya kisiasa tu.. ni Jamii nzima..
Hao Wanamichezo kujipachika Majina kama Messi,Adebayor,Boban..nk
musicians nao Wanajiita Kocha wengine wanajita Marais na Vyeo vingine vya kijeshi..Ushamba tu.
Huyu Dr. Mwenyewe anayesifiwa Lugha inamsumbua sijui hayo masomo ya science kama aliyaelewa,
Afadhali ya Mshamba aliyezaliwa Mjini kuliko Dr. wa Ushambani..
Kwani nini jamani ? Mbona siku inaanza kwa hasira hasira hivi ?
 
Mkuu, sifikiri ni maraisi ndio wanaotaka sifa bali ni wananchi na wanahabari wa kiafrika wana nidhamu ya woga,wao ndio wanaoanza kuwaita majina ya ajabu maraisi wao,mfano,Raisi Dkt Magufuli,badala ya kuandika Raisi wa Tanzania Dkt Magufuli,au Dkt Magufuli raisi wa Tanzania,au Raisi tu
 
Mheshimiwa Rais Amiri jeshi mkuu,Mwenyekiti wa vikosi vya ulinzi na majeshi, Dr John Pombe Magari
 
Back
Top Bottom