Tusiwe wachinganishi mbona leo hamjamtowa akiwa ameshika fagio kwao
Mshana ongeza na hii ili wanao leta maneno maneno wakose la kusema
simkubali JK,lakini kwa pics hizi hujamtendea haki,leo kapiga kazi bila red carpet,siku hiyo alikuwa ziara ya kawaida
kwakweli jk mnamuonea sasa
Tusiwe wachinganishi mbona leo hamjamtowa akiwa ameshika fagio kwao
simkubali JK,lakini kwa pics hizi hujamtendea haki,leo kapiga kazi bila red carpet,siku hiyo alikuwa ziara ya kawaida
Mbona JK leo kapiga kaI, mtendeeni haki huyu jamaa!