Marafiki wengine mimi nawablock sasa!

Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,545
63,023
7df8347863b4239d7dced15a241b5cc3.jpg
 
Ccm tu whether you like or you don't like.

Upinzani tena wa akina lipumber na mbower hautashika dola leo au kesho. Labda baada ya miaka 1,000,000,000 ijayo.
 
Wakuu...

Hivi kwa hali ya sasa hivi ilivyongumu..X mas tunaisikia redioni tuu na matangazo kwenye Tv...

Afu una rafiki yako yako ndo kwanza anawaza kupiga kura kwa wale jamaa zetu 2020...

Mimi namblock huyu wakuu...
7df8347863b4239d7dced15a241b5cc3.jpg
safi sana
 
Back
Top Bottom