Marafiki waponza

Marafiki waponza

Dada njia uliyotumia siyo sahihi
yawezekana lilikuwa linakuchezea akilitu
ushauri :tuliza akili uanze upya
 
Khaa! Kutoka Nov 7 2013 hadi leo Dec 10 2013 tu ndio imekua hivyo?
Vipi mbunye ulimpa?

Hiyo ndiyo DOT COM mkuu. Mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza swali hilo hilo maana kumbukumbu zangu zinaniambia ni juzi tu kaposti hiyo kitu. Salama Jay nyie endeleeni kupendana bana
 
mtaje huyo x tum-pm kukuombea msamaha, lakini usirudie kumjuju
 
Pole sana! Marafiki sio wazuri labda tu alikuwa na nia ya kukuharibia. Pole.

Vp lakini tng umeanzisha uzi hapa mambo hayajaisha au yy hajacomment chochote hapa jamvini?

Hajasema chochote.!sidhani kama atakuja kunisamehe..si unajua wanaume hawana moyo wa huruma kama sie.!
 
Pole mwaya.
Mradi X wako ni member hapa atasema na pengine anaweza akakupa nafasi ya pili kama uko tayari kuipokea.
Next time ukikutana na magumu mgeukie Mungu,anatenda kila iitwapo leo.

Nashukuru kwa ushauri wako.!
 
Pole Mkuu dada Salama, kumbe ya love connect huwa yanajibu mpaka watu mnapelekana nyumbani??? Daah!! Inaelekea hujiamni ndio sababu ulipompata bado ulitamani umfunge kamba kwa kuamini anaweza kukutoroka, jiamini weng tu wana weakness zao lakini wanaoa na kuolewa

Sio kwamba sikujiamini..ni pressure kutoka kwa ndugu ndo zilifanya niwaze kufanya hvyo baada ya kushauriwa.!
 
mtaje huyo x tum-pm kukuombea msamaha, lakini usirudie kumjuju

Hapana..hyo itamkera zaidi.!bora niache tu aendelee na maisha yake.!it was ment to happen..tusingeachana kwa hili basi kwa jambo lingine.!coz penzi lilikua na vikwazo vingi tayari.!ila nilimpenda kwa dhati
 
Vipi ulienda kwa mganga??

No..sikuenda!na sidhani kama ningeenda.!nilichotaka kujua ni kama kweli yule rafiki yangu alikua anaongea serious au anatania..ndo nikaanza kumhoji baadhi ya vitu.!
 
duh kama mie ningenyamaza, ila sabau unataka asome na kukurudia haya omba mungu

ila rafiki kukushauri kwanini haukufuta msg zake kama ulikuwa unaona anakufanyia maovu?

wewe ulitaka kwenda usingekamatwa ungemzuru kaka wa watu na juju lako, na ungelazimisha hata ya ajabu.

Mungu mkubwa ndie aliemnusuru akuache na akukamate na msg hizo, maana unajua angesoma ila haukufuta so Mungu ndie mweza wa yote hakukupa akili za wewe kufuta na unajua akisoma atakasirika na ukaacha mmh

saa zingine msisingizie friends, mie nilizani uanataka sema kuwa alichokonoa kabisa kumbe ushauri.

wengi tunapewa ushauri na watu ndugu na friends ila hatusemi wanatuharibia tunasikiliza na kuamua wenyewe, kama tukisema tusisikilize basi wengi tusingeongea na watu hata ndugu.

hao ndugu zake walikujua upo desperate na hawakukosea kabisa. Pole najua mengine huwa wanapatana na kuoana kwa kuomba jukwaani bali kwa wewe i guess umejifunza na utabadirika na tabia.

ungekuwa wa kuwa mke basi usingefikiria hata siku moja kwenda kw amganga as haukufungwa ideas kwa kulazimishwa rohoni mwako au kichwani.

Point of correction..sikua desparate kuolewa.!i just needed i right man.!na huyo ndugu aliyepinga sana hajawai kuniona ata.!
 
UKIMWONA!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole. Wakati mwingine ushauri siyo wa kuzingatia sana. Waganga nao pia wangekula pesa yako tu nao siyo wakweli.
 
Point of correction..sikua desparate kuolewa.!i just needed i right man.!na huyo ndugu aliyepinga sana hajawai kuniona ata.!

Yaani kwa kweli unasindwa kujua kuwa alisumuliwa kitu na kukuonyesha wazi alivyojisikia kuliko uliozani wako upande wako lazima kuna aliyekuwa ndio chanzo cha yeye kusumulia aliyoyaona kwako? au tuambie y alikuchukia na ilikuwaje. ex wako atajua ukweli humu
 
Habari za kazi wana JF..nakumbuka kuna kipindi nilipost nahitaji mume..baada ya mda kweli nikapata mtu tukaelewana vizuri sana..nilimpenda nae alinipenda i could feel the love between us..ikafika ata akanipeleka kwa ndugu zake kunitambulisha.!cha ajabu ni kwamba ndugu zake walinichukia bila sababu..kuna wengine ata sikuonana nao wakaanza kunishushia matusi!kiukweli nilijisikia vibaya ila nilivumilia coz mpenzi alinipenda kwa dhati..kibaya zaidi wakaanza kumuhusisha na mtoto wa jamaa!mpka jamaa alikua kwenye hati hati za kuniacha..apo ndo nilichanganyikiwa nikaanza kuomba ushauri kwa marafiki..kuna mmoja wa marafiki zangu alinishauri twende kwa mganga..kiukweli niliwaza kufanya hcho kitu coz i was desparate,ila nilishangaa zaidi rafiki yangu yule kunishauri hvyo..so nikawa naendelea kumdadisi rafiki yangu yule nione mwsho wake..!kwakua mpenzi alikua na uhuru wa simu yangu akakutana na zile message..nimejaribu kuomba msamaha ila kagoma..kiukweli ninampenda kwa dhati na nipo so sad coz tulikua tumepanga mambo mengi wa maendeleo..


Ushauri kwa wadada wenzangu:kua makini na marafiki zako na usimruhusu shetani kutawala fikra zako.!

Kwa X wangu;najua tu utasoma hii post.!i wsh you all the best na upate mtu atakayekupenda zaidi ya mim..ila usiruhusu ndugu kukuingilia kiasi hcho..


Kuna zaidi ya ulichoandika hapa................wajua zaidi
 
Back
Top Bottom