Marafiki waponza

Marafiki waponza

Salama Jay

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
131
Reaction score
68
Habari za kazi wana JF..nakumbuka kuna kipindi nilipost nahitaji mume..baada ya mda kweli nikapata mtu tukaelewana vizuri sana..nilimpenda nae alinipenda i could feel the love between us..ikafika ata akanipeleka kwa ndugu zake kunitambulisha.!cha ajabu ni kwamba ndugu zake walinichukia bila sababu..kuna wengine ata sikuonana nao wakaanza kunishushia matusi!kiukweli nilijisikia vibaya ila nilivumilia coz mpenzi alinipenda kwa dhati..kibaya zaidi wakaanza kumuhusisha na mtoto wa jamaa!mpka jamaa alikua kwenye hati hati za kuniacha..apo ndo nilichanganyikiwa nikaanza kuomba ushauri kwa marafiki..kuna mmoja wa marafiki zangu alinishauri twende kwa mganga..kiukweli niliwaza kufanya hcho kitu coz i was desparate,ila nilishangaa zaidi rafiki yangu yule kunishauri hvyo..so nikawa naendelea kumdadisi rafiki yangu yule nione mwsho wake..!kwakua mpenzi alikua na uhuru wa simu yangu akakutana na zile message..nimejaribu kuomba msamaha ila kagoma..kiukweli ninampenda kwa dhati na nipo so sad coz tulikua tumepanga mambo mengi wa maendeleo..

Ushauri kwa wadada wenzangu:kua makini na marafiki zako na usimruhusu shetani kutawala fikra zako.!

Kwa X wangu;najua tu utasoma hii post.!i wsh you all the best na upate mtu atakayekupenda zaidi ya mim..ila usiruhusu ndugu kukuingilia kiasi hcho..
 
Pole sana hukutaka kuvumilia wala kusimama na Mungu,hayo majaribu uliyoyapata kwenye uchumba ni tone tu kama ukiingia kwenye ndoa

Ushauri wangu: Simama na Mungu wako, lakini pia utubu, mwombe Mungu akujaalie umpate yule alokuandalia, kama ni huyo wa sasa atarudi tu, ila kama siye take your time yatapita tu na kubaki kumbukumbu katika maisha yako ya mahusiano na mapenzi, kumbuka hakuna ambaye hajaumizwa kimapenzi

Only time can heal broken hearts...!

Down in the human heart
Poisoned by separation
Fainally touched by a truly loving Hand
Chords that are broken
Will vibrate once more

Salama Jay this is for u....!!!!!
 
Pole sana unapopata uhusiano na kuvunjika ndiyo unakomaa kihisia ukipata mwingine utakuwa unajua namna ya kukabiliana na changamoto usihuzunike sana huenda mungu amekuepusha na matatizo. Everything happens for a reason
 
Asanteh sana.!
 
Down in the human heart
Poisoned by separation
Fainally touched by a truly loving Hand
Chords that are broken
Will vibrate once more

Salama Jay this is for u....!!!!![/QUOTE]

Thnx alot..it means alot
 
Habari za kazi wana JF..nakumbuka kuna kipindi nilipost nahitaji mume..baada ya mda kweli nikapata mtu tukaelewana vizuri sana..nilimpenda nae alinipenda i could feel the love between us..ikafika ata akanipeleka kwa ndugu zake kunitambulisha.!cha ajabu ni kwamba ndugu zake walinichukia bila sababu..kuna wengine ata sikuonana nao wakaanza kunishushia matusi!kiukweli nilijisikia vibaya ila nilivumilia coz mpenzi alinipenda kwa dhati..kibaya zaidi wakaanza kumuhusisha na mtoto wa jamaa!mpka jamaa alikua kwenye hati hati za kuniacha..apo ndo nilichanganyikiwa nikaanza kuomba ushauri kwa marafiki..kuna mmoja wa marafiki zangu alinishauri twende kwa mganga..kiukweli niliwaza kufanya hcho kitu coz i was desparate,ila nilishangaa zaidi rafiki yangu yule kunishauri hvyo..so nikawa naendelea kumdadisi rafiki yangu yule nione mwsho wake..!kwakua mpenzi alikua na uhuru wa simu yangu akakutana na zile message..nimejaribu kuomba msamaha ila kagoma..kiukweli ninampenda kwa dhati na nipo so sad coz tulikua tumepanga mambo mengi wa maendeleo..

Ushauri kwa wadada wenzangu:kua makini na marafiki zako na usimruhusu shetani kutawala fikra zako.!

Kwa X wangu;najua tu utasoma hii post.!i wsh you all the best na upate mtu atakayekupenda zaidi ya mim..ila usiruhusu ndugu kukuingilia kiasi hcho..

Karibu jf Salama Jay
 
Last edited by a moderator:
Mwezi tu wamekaa tyri wameshatangaza ndoa dah! Dada inaonesha jinsi gani ulikuwa na uhitaji wa mume na huyo jamaako alikuwa anahitaji mke kama wewe
 
Nimekuacha kwa sababu mapenzi yetu yamekua sana ya ki MMU,unadhani mtoto hatazaliwa kama wa Avatar la Mashaxizo ?
khaa...........
 
Dah...........pole sana huyo nadhani alikua anataka kuchungulia tu down unamiliki kitu gani,mapenzi yenu yalienda kwa haraka sna,yaani ndani ya mwezi mmoja tu mmeshatambulishana?kumbuka
HASTE FOLLOWERS EXPERIENCE A SUDDEN FALL
 
ukitafuta kitu kwa matamanio na hamu kubwa, siku ya kukipata utakishka vibaya kwani nguvu ya kukizuia kisiponyoke itakuzidi na lazma utakipoteza uspokuwa makini....pole sana
 
Tulikua hatujatangaza ndoa..tulifanya hvyo kwa ajili ya kua open.!sio kwamba tulikua tuoane kesho wala keshokutwa.!
 
ilikua ianataka kuwa ndoa ya kichina!!

X wangu alikua hana tatzo kabsa..infact nampongeza kwa kua ni mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa dhati..kosa ni kwangu kuwaza kufanya hayo mambo baada ya kushauriwa..nimeweka kitu hiki public kwa nia ya kutubu kwa mwenyezi mungu..na naamini nitasamehewa.!
 
Back
Top Bottom