Marafiki wana msaada kuliko ndugu

Uk
Uko sahihi mtoa madam hajakosoa ndugu kuwa ni wabaya,kaongelea kutokana na uzoefu wake kwenye michongo na fursa,punguza mihemko mkuu!
 
Naunga mkono aisee bila mungu kumleta yule mshikaji wangu ambae alikuwa msaada kwangu sijui ningekuwaje aisee kiukweli nilikuwa mie si kitu,stress na depression ila mwanangu from nowhere akanipa mchongo aisee mungu aendelee kumbless kwa sasa milioni kadhaa kwangu si ishu kabisa namshukuru mungu 🙏🙏🙏🙏
 
Mimi niko tofauti na wewe mkuu.kwangu ndugu wana msaada mkubwa kuliko the so called friends.
Nikikwama kiuchumi ndugu ndio huwa wananiinua,nikiumwa ndugu ndio huwa wanakua na ukaribu na mimi kuliko marafiki.
Marafiki wa kibongo wanasubiri kusikia habari zako mbaya tu.
 
Wengi mnageneralize coz mnaenda nje ya kilichokusudiwa, ukibaki kwenye muktadha wa utafutaji na michongo ya kazi ni rahisi kunielewa.
 
Wewe ulishalikoroga huko umeanza lawama.

Hao wanaoitwa amarafiki ni bado tu hawajaonja joto lako la jiwe.

Mnaharibu mahusiano kwenye familia zenu wenyewe baadae mnaanza kulalamika wanapowaacha na ujeuri wenu.
Kutambua mchango wa marafiki kwenye mambo ya utafutaji na michongo ya kazi haimanishi sina mahusiano mazuri na ndugu, ni vile tu umeamua kugenerelize mambo.
 
Mada inajieleza imejikita kwenye utaftaji na michongo ya kazi bt wewe umechagua kugenerelize.
 
Kuna ukweli flani, nahisi ndugu ila ata rafiki mliokua sehemu moja wote ni vichomi coz ukipga hatua kumzidi wanakunja ila watu unaokutana nao kwenye utafutaji ni nadra kukunja mana hakujui vzuri

Kuna yale mashangazi na majomba ya ovyo yanayochukia utoboe kuliko matoto yao mavuta bangi na madangaji. Yani yamefeli malezi yenyewe chuki kwako! Ndo mana inatakiwa tuwe wasiri sana.
 
Wewe ulishalikoroga huko umeanza lawama.

Hao wanaoitwa amarafiki ni bado tu hawajaonja joto lako la jiwe.

Mnaharibu mahusiano kwenye familia zenu wenyewe baadae mnaanza kulalamika wanapowaacha na ujeuri wenu.
Kutambua mchango wa marafiki kwenye mambo ya utafutaji na michongo ya kazi haimanishi sina mahusiano mazuri na ndugu, ni vile tu umeamua kugenerelize mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…