Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,801
- 59,274
Kwanza nimejaribu kufikiria kati ya wanawake na wanaume ni wapi hua wanaongoza kwa kukaribisha/weka mazingira ya ukaribu kati ya wenzi wao na marafiki zao bila kupata jibu la moja kwa moja.Nadhani inatofautiana kati ya mtu na mtu maana binafsi sio mtambulishaji mzuri hata kidogo...achalia mbali kuweka/tengeneza mazingira ya ukaribu ila ni mtambulishwaji mzuri na baadhi ya nliotambulishwa kwao tumetokea kua marafiki wazuri sana hivyo tupo karibu!!Na kuna wanaume kutambulisha wapenzi wao mpaka kwa ugomvi!
To the point....mara nyingi wanawake (sio wote..baadhi) ndo hua tunasemwa tukiruhusiwa kua karibu na waume/wapenzi wa marafiki zetu maneno hua mengi mpaka kuwaharibia wenzetu ili tuchukue nafasi zao au kuona tu wakikosa.....sijui kama ndivyo ilivyo kwa wanaume pia!! Hii hua inaendana na ule msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe ambao nao una kaukweli ndani yake.
Nwy binafsi sijawahi kukutwa na hili 'first hand' kwahiyo naomba kuuliza je ''SAFE DISTANCE'' kati ya rafiki na mpenzi/mwenzi wa rafiki inatakiwa iweje??Kila mmoja ana namba ya mwenzake?Wanaweza kukutana hata kama wewe haupo? (hapa tuseme mwenzako anaishi mji mwingine na rafiki hiyo kaenda kutembelea mji huo) .Kujua mambo yenu kwa mf. mkigombana...patana..furahishana??Kujuana mpaka makazi?Kutambulishana kwa marafiki zao??