Marafiki wa wapenzi/wenzi!

labda mie nina hofu pia, yaani niwe nae tu bila kukujulisha nadhani nitakata network hata tulichokutania na huyo mpenzi wako ntakisahau, ntakuwa na amani zaidi nikiwa najua unajau...mf ni kama cku moja frnd wangu alikuwa na ishu fulani na mr, na ni mtu anaemtegemea kumsaidia kutatua hiyo ishu, alinical kunieleza na kwa bahati nzuri mr alikuwa anaenda arusha/moshi kikazi, walikutana na walopokuwa wamekutana tu frnd wangu alisahnitumia sms nipo na shemeji hapa kindoroko ndio tunaanza maongezi, hapo mr yeye alikuja kuniambia maucku huko ameshalala kwamba nilikuwa na Lizzy kwenye ile ishu yake niliyoomba nimsaidie, nimemsaidia hivi na vile, unaona utofauti hapo Lizzy, mwanaume alichukulia ni maongezi na najua kutakuwa na maongezi hana haja ya kuniambia ndio naenda kuonana na fulani, but frnd aliona ni lazima kunijulisha kila point, tunaanza/tumemaliza/tumeshatawanyika....
Rafiki yako alikuwa muungwana sana wengine wanakula buyu tu next time wanakutana tena mamabo yanaanza kudevelop the next thing you know ni kuanza kusikia stori mbona rafiki yako tunamuona na mumeo sana vipi kulikoni mwanamke unaanza kuhaha
 
Hapo kwenye red mkubwa, kama anao wengi atatambulisha wangapi? Ukiona rafiki, mpenzi, mchumba, mume hakutambulishi kwa watu tena akiwa na furaha jua huna binadamu hapo!!!! It is straight forward na kama ni rafiki, mpenzi au mchumba basi fikiria kwa undani mahusiano yenu, it means hakuthamini, he/she does not feel proud akiwa na wewe, you are nothing, pengine anakutumia tu kwa maslahi fulani, but you are no body. Feel proud to introduce!!!!

Naona Thanks imepotea tena!!

Mhhh nakubaliana na wewe linapokuja swala la mimi kutambulishwa hata kama sitauliza ila ntajiuliza maswali mengi.Ila nikifikiria kwamba mimi mimi huyu ndo mgumu wa kutambulisha wenzangu bila kua na sababu ya msingi inabidi niishie kusema kwamba sio wote wanafanya hivyo kwa kutothamini ...kupenda kweli au kua proud!!!
 
rafiki yako alikuwa muungwana sana wengine wanakula buyu tu next time wanakutana tena mamabo yanaanza kudevelop the next thing you know ni kuanza kusikia stori mbona rafiki yako tunamuona na mumeo sana vipi kulikoni mwanamke unaanza kuhaha

halafu kuwa muwazi haaimanishi watu wapo innocents...

Watu wanaweza kuwa wa wazi but still wana mambo yao...
 
Wanawake walio wengi ni WANAFIKI at the same time NYOKA; nina kila sababu ya kusema hivi. Hata kwenye biblia inaonyesha, pale nyoka alipomdanganya Eve na kusababisha maafa. Tulio wengi tukitambulishwa kwa mabwana/waume zetu ki unafiki unataka kufanya mazoea ya kuwa karibu na bwana wa mwenzako kwa misingi gani? Na wewe mwanamke uliyefundwa/kama si elimika unachukua namba ya nini ya bwana wa mwenzako wakati GF/wife wake ni rafikio? Hapo ndiyo shughuli inapoanza.

Kudanganyika kwa mwanamke ni rahisi sana,si tulio kwenye ndoa na tulio nje ya ndoa akili yetu ukiiweka kwenye mzani ni sawa. Sasa basi kama huna hofu ya Mungu unakuta umemnyang'anya rafikio kipenzi bwanake, kibaya zaidi ni tamaa za mwili tu, had nothing to do with you. Na wanaume walivyowanchonganishi akishamvua nguo anakipa anawaacha mnalumbana kivyenu.

Ninachoshauri kama mwanamke niliyeona mauzauza mengi ni ifuatavyo; unapotambulishwa kwa bwana wa mwenzio huna ruksa kuchukua namba ya simu au contact zake kwa sababu bado uko na rafikio kama kuna msaada unataka basi mtumie aliyekutambulisha ambaye ni rafikio. Next muwe na hofu ya Mungu, waaminifu kwa wenza wenu, hata kama una njaa zako za kuolewa siyo kwa bwana wa mwenzako.

Mungu awatie nguvu wanawake wote wa JF, muwe wa kuigwa. AMEN
 
huo ni ukweli mtupu but hapa czungumzii kama ninawahic/wana ammbo mabaya kwenye maongezi waliokuwa nayo, nayajua so pale kilichokuwa kinahitajika ni msaada wa mr tu, kuliko nawakuta wapo hapo ndio waanze kunirukia na mashairi yao,ingekuwa habari nyingine tofauti kabisa.
 
Mwanamke mwenzenu huyo amesema yote na mlisikie alisemalo!!
 
huo ni ukweli mtupu but hapa czungumzii kama ninawahic/wana ammbo mabaya kwenye maongezi waliokuwa nayo, nayajua so pale kilichokuwa kinahitajika ni msaada wa mr tu, kuliko nawakuta wapo hapo ndio waanze kunirukia na mashairi yao,ingekuwa habari nyingine tofauti kabisa.
khe khe khe hapa ungebinua meza nini?
 
Naona wakati mwingine bora mtu asikutambulishe uelewe hakuona umuhimu,ishanikuta nimetambulishwa ,na binti kwa kasi ya ajabu akataka urafiki na kunizoea kwa nguvu ilinichukua mwezi miaka kuelewa nilichokuwa sikijui.

Naona Thanks imepotea tena!!

Mhhh nakubaliana na wewe linapokuja swala la mimi kutambulishwa hata kama sitauliza ila ntajiuliza maswali mengi.Ila nikifikiria kwamba mimi mimi huyu ndo mgumu wa kutambulisha wenzangu bila kua na sababu ya msingi inabidi niishie kusema kwamba sio wote wanafanya hivyo kwa kutothamini ...kupenda kweli au kua proud!!!
 
Wanawake walio wengi ni WANAFIKI at the same time NYOKA; nina kila sababu ya kusema hivi. Hata kwenye biblia inaonyesha, pale nyoka alipomdanganya Eve na kusababisha maafa. Tulio wengi tukitambulishwa kwa mabwana/waume zetu ki unafiki unataka kufanya mazoea ya kuwa karibu na bwana wa mwenzako kwa misingi gani? Na wewe mwanamke uliyefundwa/kama si elimika unachukua namba ya nini ya bwana wa mwenzako wakati GF/wife wake ni rafikio? Hapo ndiyo shughuli inapoanza.

Kudanganyika kwa mwanamke ni rahisi sana,si tulio kwenye ndoa na tulio nje ya ndoa akili yetu ukiiweka kwenye mzani ni sawa. Sasa basi kama huna hofu ya Mungu unakuta umemnyang'anya rafikio kipenzi bwanake, kibaya zaidi ni tamaa za mwili tu, had nothing to do with you. Na wanaume walivyowanchonganishi akishamvua nguo anakipa anawaacha mnalumbana kivyenu.

Ninachoshauri kama mwanamke niliyeona mauzauza mengi ni ifuatavyo; unapotambulishwa kwa bwana wa mwenzio huna ruksa kuchukua namba ya simu au contact zake kwa sababu bado uko na rafikio kama kuna msaada unataka basi mtumie aliyekutambulisha ambaye ni rafikio. Next muwe na hofu ya Mungu, waaminifu kwa wenza wenu, hata kama una njaa zako za kuolewa siyo kwa bwana wa mwenzako.

Mungu awatie nguvu wanawake wote wa JF, muwe wa kuigwa. AMEN

hapo kwenye no ntapingana na wewe, kama mmestaarabika hivyo no mtazitumia kwa wakati/muda/shida muafaka, sio vinginevyo, mie nilichukua no ya mr wa frnd wangu wa kwanza wakati alipokuja kujifungulia huku, mr yupo mwanza kikazi, sasa msaada/mawasiliano ni kupitia mie, hapo mtu unafanyaje?...nyingine nilikuwa nina shida na wa kunisaidia ni mr wa frnd wangu, niliongea na frnd wangu akamweleza mr wake frnd akanipa no niwacliane na mr wake, hapo je?...hakuna problem kwenye kugawana no problem ni kwa nyie binadamu labda muitumie kwa nia zenu chafu sambamba na tabia zenu chafu.
 
Naona wakati mwingine bora mtu asikutambulishe uelewe hakuona umuhimu,ishanikuta nimetambulishwa ,na binti kwa kasi ya ajabu akataka urafiki na kunizoea kwa nguvu ilinichukua mwezi miaka kuelewa nilichokuwa sikijui.
Eti eheee Chauro bora nusu shari...
 
Naona wakati mwingine bora mtu asikutambulishe uelewe hakuona umuhimu,ishanikuta nimetambulishwa ,na binti kwa kasi ya ajabu akataka urafiki na kunizoea kwa nguvu ilinichukua mwezi miaka kuelewa nilichokuwa sikijui.

yaani jamani...pole Chauro, mie mr anajuaga kabisa habari za kufika ofcn kwake na oohh haaa huyu secretary czitakagi, kusanifiana tu, umeenda pale watu wanakuchora tu mwenyewe na majidai yako mr mr...my foot, kumbe ujui nyuma ya pazia....haya mambo yanakera jamani.
 
Ofisin kuna kijana ameoa mwanamke ambaye nae ni mfanyakazi wa hapo hapo, na kubwa zaidi idara moja na wamesomea taaluma moja
Sifahamu sana ktk ndoa yao wakoje but naona wazi wazi jinsi wasivyo na raha, hasa kwenye kipindi cha vikao vya wafanyakazi ambapo tunasemana madhaifu yetu waziwazi . . . .
 
Tena bora usitambulishwe maana siku unajua inauma sana sana tu,halafu uliza majibu yake ukija jumlisha moja na moja haitoi mbili inakufikisha namba kumi ni sababu tu siku izi maroho yameingia ukurutu nayo sio sawa na nilivokuwa kinda.

yaani jamani...pole Chauro, mie mr anajuaga kabisa habari za kufika ofcn kwake na oohh haaa huyu secretary czitakagi, kusanifiana tu, umeenda pale watu wanakuchora tu mwenyewe na majidai yako mr mr...my foot, kumbe ujui nyuma ya pazia....haya mambo yanakera jamani.
 
Mi naona bora uwe huru na mpenzi wako kuliko kumficha ficha kisa utapinduliwa na rafiki yako. Kwanini uwaogope rafki zako wawili watatu wakati huyo mpenzi wako anakutana na watu wa jinsia hiyo karibia kila siku.
 
Naona wakati mwingine bora mtu asikutambulishe uelewe hakuona umuhimu,ishanikuta nimetambulishwa ,na binti kwa kasi ya ajabu akataka urafiki na kunizoea kwa nguvu ilinichukua mwezi miaka kuelewa nilichokuwa sikijui.

Pole mwaya.
Kweli kutambulishwa haina maana wewe ndo wa kipekee....kuna watu wanatambulisha hata wanne kwa mpigo...marafiki zake waishia kukuchora tu unavyotukuzwa ukiwepo!
 
Baba_Enock na Mama_Enock hawana "SAFE DISTANCE" : rafiki ya ME ni rafiki ya BE & vice versa...

Labda kama tunajaribu kubadilisha maana ya neno "rafiki", but in general and generic terms a friend is someone (other than a relative) ambaye mnaweza kushauriana mema na mabaya, mnaweza kusaidiana katika kila hali, e.t.c.

Sasa unaponiambia kuwa ninaweza kuwa na rafiki ambaye urafiki wetu ni (100-X)%, where X is variable! sijui maana yake.

Also, kwa walio kwenye ndoa kuna terminology tunaitumia sana nayo ni "family friend" kwa maana kuwa ni familia rafiki kwa maana ya urafiki. Say Mama_Enock anafanya kazi mitaa ya Posta na Baba_Peace (our family friend), I can see no offense whatsoever, Baba_Peace na Mama_Enock kwenda Break Point kupata lunch or kujuimuika in any way, that is beyond my control... Anyways as Murphys Law says "anything that can go wrong, will go wrong" .. Kama ni kuwa na "affairs between them", you can not avoid it by not allowing them to mingle - No, Never, and Ever..

Huwezi kuwa na urafiki na mtu kwa asilimia (100-x)% halafu ukamwita rafiki - huo ni UNAFIKI and I HATE IT..
 
Back
Top Bottom