Ukifika Dar usisite kuja kumjulia hali babu yako Asprin a.k.a ODM. Napatikana huku Shambani Bunju. Uje umsaidie kuvuna matikiti maji, na ufanyiwe ukaguzi pia.
Karibu sana mjukuu wangu.
Nako huku kuna mavehicle inspector tehe tehe, nimeshampa maangalizo makali, upo babu ODM aka Asprin?????
Wapendwa,Nimeona nichukue nafasi hii,kuwataarifu kwamba natoka nje ya JIJI kidogo!!Natoka kwenye JIJI nakwenda JIJI lingine(DAR)!!
Filipo my hubby,be good,I will miss you sana Erickb52 Arushaone LiverpoolFC ,@Blaki Woman Mzee wa Rula ,mke mwenza sweetlady Preta kwa kweli ntawamiss!!
PakaJimmy nimefurahi kukuona,ntakutamani sana(ntakumiss)!
I love you all!
marejesho, chunga sana huyo mzee, Asprin kuna kitu tunamdai huku A-Town alituibia!...lol!Ukifika Dar usisite kuja kumjulia hali babu yako Asprin a.k.a ODM. Napatikana huku Shambani Bunju. Uje umsaidie kuvuna matikiti maji, na ufanyiwe ukaguzi pia.
Karibu sana mjukuu wangu.
marejesho, chunga sana huyo mzee, Asprin kuna kitu tunamdai huku A-Town alituibia!...lol!
Ukiona anakuletea zake, mpe kitu cha Arusha, au m'dipu Saharavoice, anajua kumzibiti.
Daaaah ntafurahi nikikuona!