contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Jamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa nikilisema Kwake halikuwa na ukweli, mie ilikuwa fab time to chill after stress za siku nzima, lakini pia jamani msiwe mnatongoza watu huku, wengine majini, shauri yenu kama hamtaki kusikia. [emoji12]
haaa we umewahi kukumbana na hiyo kitu ???Ahahahaaa...welcome to the club.
Watu huwa wanadondokeana humu bila hata ya kujuana wala kuonana [na unakuta mmoja yuko serious kabisa huku mwingine anafanya kama pastime yake].
haaa we umewahi kukumbana na hiyo kitu ???
Bwana wee jf kuna raha yake, unapoteza mawazo kiulaini, ukikamata msukuma wa kukupoza roho kwenye bed na ka whisky kako pembeni basi inakuwa burudani, sasa pale ambapo mtu anakuwa serious ndio anaharibu utaratibu kabisa yaani! Ooh mi nataka kugegedana, hayo mambo yanatakiwa sext nice kama kweli vile mtakutana, kumbe all in vain!!!![emoji13]Ahahahaaa...welcome to the club.
Watu huwa wanadondokeana humu bila hata ya kujuana wala kuonana [na unakuta mmoja yuko serious kabisa huku mwingine anafanya kama pastime yake].
hiyo ya mtu kuwa deep kwako akidhani mko same page Kumbe wewe ur just playing around...hauko serious kama yeyeHahaaa...ipi hiyo?
Ya mtu ku fall na mimi huku hanijui nami simjui halafu yeye akadhani yuko in too deep in love na mimi ilhali mimi natumia akili zaidi kuliko hisia?
Bwana wee jf kuna raha yake, unapoteza mawazo kiulaini, ukikamata msukuma wa kukupoza roho kwenye bed na ka whisky kako pembeni basi inakuwa burudani, sasa pale ambapo mtu anakuwa serious ndio anaharibu utaratibu kabisa yaani! Ooh mi nataka kugegedana, hayo mambo yanatakiwa sext nice kama kweli vile mtakutana, kumbe all in vain!!!![emoji13]
hiyo ya mtu kuwa deep kwako akidhani mko same page Kumbe wewe ur just playing around...hauko serious kama yeye
DuuuuuuhJamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa nikilisema Kwake halikuwa na ukweli, mie ilikuwa fab time to chill after stress za siku nzima, lakini pia jamani msiwe mnatongoza watu huku, wengine majini, shauri yenu kama hamtaki kusikia. [emoji12]
Watu wana fall in love na avatars na uandishi wa watu humu ndani
haaa ur such a bad boy NN..Alaaa!
Mimi tena...swali lako ni sawa na kumwuliza Papa Francis kama yeye ni Mkatoliki.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sema kuna watu humu wana maneno ya kujisex-isha hadi nshawajengea taswira kabisa kila nikiona IDs zao.Sasa si afadhali hata uandishi maana angalau unaweza kung'amua upeo, misimamo, maadili, elimu, na labda itikadi ya/za huyo mtu.
Ya kudondokea avatar ndo umajinuni kabisa.
haaaa Kumbe picha na avatar hata havihusiani lol... ngoja nianze kukufanyia imagination elmagnifico[emoji1] [emoji1] [emoji1] sema kuna watu humu wana maneno ya kujisex-isha hadi nshawajengea taswira kabisa kila nikiona IDs zao.
Usinichekeshe nawaza hapa unanipatia picha ganihaaaa Kumbe picha na avatar hata havihusiani lol... ngoja nianze kukufanyia imagination elmagnifico
haaa ur such a bad boy NN..
ila inauma kuwa deep Kumbe mwenzio walaaaaa
We mwenzangu hata kiswahili umgeni ndio tatizo, soma tena labda utaelewa, maana duu sikuelewi umeyapata wapi uliyoyaandika.Duuuuuuh
Pole yako kumbe ulishobokea bia ukapewa bia mia
Ila wajanja bado tunawandua tuu cfa chumvi nyingi
Ahahah wakati wengine tayari wamepata sana trophy za uandishi bora, Love in the air!Watu wana fall in love na avatars na uandishi wa watu humu ndani
Nani anakuruhusu kuwa deep na upepo? Maisha are meant to be enjoyed not to be taken very seriously!haaa ur such a bad boy NN..
ila inauma kuwa deep Kumbe mwenzio walaaaaa
Yaani that's the best part of being a part of MMU member, to go with the flow![emoji1] [emoji1] [emoji1] sema kuna watu humu wana maneno ya kujisex-isha hadi nshawajengea taswira kabisa kila nikiona IDs zao.