gatty
Member
- Feb 28, 2014
- 64
- 13
Hivi kwa nini unakuta marafiki wanaharibu mahusiano ya kimapenz kati ya watu 2, mfano rafik Yang anamfata boyfriend wangu anamjaza maneno either ya ukweli ama uongo hiv anakuwa anataka nini haswa!! Uhusiano wangu umevunjika sababu ya marafik zangu kumjaza maneno mtu Wangu, inauma sana aisee ukimgeuzia kisongo anakung'onga huyu rafiki