Mara yako ya mwisho ilikuwa lini?

Mara yako ya mwisho ilikuwa lini?

Yellow bone

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
256
Reaction score
330
Unaamka kila siku ukiwa mzima,unaongoza kwa post jf,
Unaongoza kwa showoff..lakin Je,unakumbuka mara yako ya mwisho ..
  1. KWENDA MSIKITINI AU KANISANI KUSWALI
  2. KUTOA MSAADA AU KUTEMBELEA WATOTO YATIMA KWENYE VITUO VYAO
  3. UFARIJI WAJANE
ILIKUWA LINI?
KUMBUKA DUNIA NI WAPITAJI....WEMA WA MATENDO WAKO NI AKIBA NJEMA...
Nawasilisha
 
Duh umekuwa mwoga kiasi hicho !
Lakini huoni kama huo muda ulioutumia kutuma post hii ungeuyumia kusoma kitabu cha bibilia ukiwa ni mkirito au Quraani ikiwa ni muislamu ingekua bora kwako na kwa dini yako kukiko hivyo ulivyofanya
 
Mkuu ninayayafanya hayo kila wakat..sijui kwa upande wako weww
 
Back
Top Bottom