Mara yako ya kwanza ilikuwaje?

Yani marejesho shost,unajikuna mpaka unafumba macho huku udenda mwembamba wa utamu unakutoka.

Hv Duniani kungekuwa hakuna madushelele ingekuwaje?

Ukiwaza sana Madam B unajikuta mwishowe unasema 'Mwacheni MUNGU aitwe MUNGU'
 
Last edited by a moderator:
Na hili swala wanalizungumzia wasicha wengi!
Hasa co.d.o.m za kike na naona sababu wengi hawazitumii hizo na kutokana na utaratibu wake!
Na hii huwa nihisia

Me situmiagi.
Zinaniwashaga sana.
 

Hahahaaa... Mkuu Arushamoko hilo mie nakuachia uwaanzishie ww, naona huku watu wana mifani ya kutosha hasa wadada.
 
Hiyo huruma Filipo isijeishia kwenye kuomba 'kumkuna' !! BTW Madam B ni shost yangu usithubutu , maana ataniambia ukweli!!!

Hapana mpz! Hayo mambo ya kukuna kuna nimeyaacha kabisa nje ya ndoa!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…