Mara ya mwisho kwenda kanisani ni lini?

Mara ya mwisho kwenda kanisani ni lini?

Nliacha kwenda kanisani tangu waanze harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba na kununua gari la baba mchungaji..!
 
Dah umenigusa mr. Mpk nimejistukia jmn next week ntajitaidi mana Christmas hadi Christmas
 
Nliacha kwenda kanisani tangu waanze harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba na kununua gari la baba mchungaji..!
Lol...hapo kazi ipo...baba wachungaji wanatembelea mikoko wakat waumin hawana ata baiskeli
 
Huu mwaka wa tisa tangu niahirishe kabisa swala la kusali na kuamini katika imaginations.Sidhani kama itakuja kutokea mm kurudi kanisani.
Embu fafanua mdau hapo kwenye imaginations
 
Back
Top Bottom