Duuu hilo nalo NENO[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mdau mara ya mwisho kwenda kanisani ilikua lini? To be honestly mimi tangu mwaka huu uanze sijawahi gusa au kwenda kanisani.
Je, Unaichululiaje hii hali?
[emoji134] [emoji134] Mungu wangu!!!!Ilikuwa ni Pasaka ya mwaka 2005.
Kwanini mkuu!?2009.. huwa najisikia vizuri nisipoenda kuliko nikienda
Ndo kikwazo?Michango wameacha?
Wengine wanaoendesha misa nakunywa nao na baadhi ya mambo yao nayafahamuKwanini mkuu!?
Wengine wanaoendesha misa nakunywa nao na baadhi ya mambo yao nayafahamu
Maneno ya wakosaji hayo"Usizitazame Dhambi zetu ila tuu Imani
ya Kanisa lako Takatifu"
DuuuTatizo makanisa yamekuwa biashara, siasa zimeingia makanisani,ukionyeshwa huyu ni kiongozi wa kanisa unaduwaa!!!,sadaka tunatoa hazieleweki tamati yake,ukija Kwa wanakwaya sasa ndo jipu kabisaaa hawana tofauti na bongo flava wahuni tu unzinzi Ndo kazi yao hawana ile sprit ya kuhubiri Kwa njia ya uimbaji,Tutasalia nyumbani mpaka yesu atakapo rudi
Maneno ya wakosaji hayo