Last monthUlienda lini
Nadhani wewe ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Moshi Mjini enzi zile za NCCR MageuziMdau mara ya mwisho kwenda kanisani ilikua lini? To be honestly mimi tangu mwaka huu uanze sijawahi gusa au kwenda kanisani.
Je, Unaichululiaje hii hali?