Ndomana huwa wanapenda kupitia kwa wake zetu,dada ama mama zetu mana wanajua ni wepesi kushaurika na kukubali na ni rahisi kuwashauri waume zao/kaka/baba zao wakajiunga nao au kuhudhuria kanisanikweli kabisa na bila kuamkosaji uwezi kusema hivyo na huo ndo utimilifu wa binadam vinginevyo tungekua malaika. hata hivyo naungana na ww matendo ya viongoz wetu wa dini yanakatisha tamaa mbaya zaid waumini tunawaamin hawa mapadre/wachungaji kupita maelezo.
Haaaaaa!! umemaliza hadi university lakini kuna makosa mengi tu kwenye uandishi wako!!Yani sijui huwa mnawaza nn ona sasa ulivonigusa tangu nianze university adi nmemaliza sijaenda church (2013 -2016 Leo) bnafsi wachungaji wapgaj wa dar ndo Shda kwng ,matoleo matoleo kwa wachungaj w dar ,pia ilifikia muda niliamua tu iwe ivo .
Mathew 23:3 ....So practice and obey whatever they tell you, but don't follow their example. ... For they preach, but do not practice.Wengine wanaoendesha misa nakunywa nao na baadhi ya mambo yao nayafahamu
Mstari huu katika Mathayo ndo huwa wanapenda utumia katika kujitetea ila hamna loloteMathew 23:3 ....So practice and obey whatever they tell you, but don't follow their example. ... For they preach, but do not practice.
Ume tahadharishwa ....tenda mapenzi ya Mungu mengine waachie wenyewe na Mungu wao.Mstari huu katika Mathayo ndo huwa wanapenda utumia katika kujitetea ila hamna lolote
Huu mwaka wa tisa tangu niahirishe kabisa swala la kusali na kuamini katika imaginations.Sidhani kama itakuja kutokea mm kurudi kanisani.Mdau mara ya mwisho kwenda kanisani ilikua lini? To be honestly mimi tangu mwaka huu uanze sijawahi gusa au kwenda kanisani.
Je, Unaichululiaje hii hali?
Ukifa gafla nitalia sana manake nshajua kitakachoendelea huko mbeleni mwee kemea pepo lililoshika nyayo zakoMdau mara ya mwisho kwenda kanisani ilikua lini? To be honestly mimi tangu mwaka huu uanze sijawahi gusa au kwenda kanisani.
Je, Unaichululiaje hii hali?
Haya mpendwaUme tahadharishwa ....tenda mapenzi ya Mungu mengine waachie wenyewe na Mungu wao.
Ana nguvu kumshinda Mungu? tema mate chiniKwa kweli shetani ananguvu sana
Unaitaji kukombolewaToka nilivyo funga ndoa mpaka leo karibuni miaka 6.