Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sasa hapo si kuaribiana mwonekano bibie, hiyo haifai kwa sisi wachepukaji[emoji23] [emoji23]
Mwangalie binti wa watu hiyo si Snake bite kabisa.
lol, na ndio lengo haswaa la love bite, kwa wachepukaji mbaki njia kuu,

huyo dada haitaishi kwa muda mrefu
just a couple of days anakua normal.
 
Mimi nikajua lovebites ni wadudu wapya wamevumbuliwa wanaong'ata watu duuuuh.
😱😕😡🙄😵
tupo wengi hatujui ila huko kuraruana ni makusudi ili ujulikane hadharani tu.
 
tupo wengi hatujui ila huko kuraruana ni makusudi ili ujulikane hadharani tu.


Haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh teeeh.
Aiseeeeeeeh, ni chengachenga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…