Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

sintosahau pale nilipoziona lov bitte shingon kwa demu wangu tena alikuja geto na aliniongopea ni mtu kamkaba ikabid nile mzgo kishingo upande
 
Aisee haya mambo usiombee kama huyajui, mi nilikuwa nimelala Ghetto nashangaa nimevamiwa naanza kung'atwa shingo nikajua demu labda jini linataka kunyonya damu, nilipiga kelele akashangaa
 
lol, kuna watu hawajui kuweka 'love bites' wanatumia meno badala ya ulimi, ndio maana kwa wale waliowekwa kwa meno hawataki tena.
lakini kwa mtu mweusi ni kumtesa tu, haitatokea so guys mfanyiane kama mna rangi za dubai au za kimeru. lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…