Na kwanini usiseme yalini?acheni upotoshaji. unajua hiyo video ni ya mwaka gani? japo imewekwa leo
Wewe kweli ni Msema chochote, badala ya kuweka rekodi sawa unabwabwaja...acheni upotoshaji. unajua hiyo video ni ya mwaka gani? japo imewekwa leo
Wananchi wamevamia mgodi wa Nyamongo uliopo tarime kufuatia kauli ya mbunge wao,
Vyombo vyetu vya dola navyo vinaonekana kuendeshwa kwa mihemko badala ya weledi, kama kuna madai kwa nini yasifanyiwe kazi na muwekezaji kuchukuliwa hatua kisheria?
kwasababu hayo ni ya miaka zaidi ya mitano toka yalipotokeaNa kwanini usiseme yalini?
unakuja mzimamzima. niko north mara mwaka wa kumi huu. ndani ya miaka miwili sijashuhudia kitu cha namna hiiWewe kweli ni Msema chochote, badala ya kuweka rekodi sawa unabwabwaja...
Si mmesema hao ni wezi?Khee mi nilijua wanatania,wamevamia kweli??Mbunge Heche hawatamuacha salama asee
Miaka mitano acacia ilikuwepo?kwasababu hayo ni ya miaka zaidi ya mitano toka yalipotokea
Lazima wajisafishe kwa mtindo huo, ila wakisikia ukawa wanataka kuandamana kumpongea Rais, watawazuia