Mara: Wananchi wavamia mgodi wa Dhahabu wa Nyamongo na kupora Polisi wakiwepo!

Kumbe ya kitambo?
mwaka 2013 mwanzoni. wananchi (maarufu kqma intruders) walitaka kuvamia kwenye kinu (plant) cha dhahabu. waliuawa mamia ya vijana na wengine hadi leo hii wana ulemavu wa kudumu. ilipelekea hadi polisi kutelekeza majeneza na maiti za watu
 
Wamefanya vizuri,kama rais kasema wanatuibia,na rais ameshashikilia michanga kule bañdarini,kwanini na wao wasioneshe kumuunga mkono rais kwakuvamia migodi ili wachukue dhahabu zao.. wakomae hadi kieleweke,tuache siasa,yeye naye rais akomae sio kukaa meza moja na wawekezaji anaowaita wezi,halafu anawachekea,yeye ataifishe kila kitu hatakama yakitukuta yakina Mugabe,tutalipa sisi,yeye madhara yake tutapata sisi.
 
Wakuu, mwenye fursa ingia kwenye website ya TRA nenda sehemu iliyoandikwa Library then chagua decided tax cases ....pale fungua TRA V African Barrick Gold mine PLC ( Appeal No. 128 of 2013 dated 9th July 2015) ....ni very interesting case hasa kwa hili linaloendelea ....tumuunge mkono Rais wetu kwa nguvu zote ....inatosha kuibiwa ....
 
Back
Top Bottom