Ryan Herman
Member
- Jul 26, 2019
- 42
- 46
Men onlyMi nadhani kuna nyege ambazo zinakuwaga on the brink of mental illness.
Who can explain this?
Only if you mean "mentally disturbed men"Men only
Mi nadhani kuna nyege ambazo zinakuwaga on the brink of mental illness.
Who can explain this?
khaaMi nadhani kuna nyege ambazo zinakuwaga on the brink of mental illness.
Who can explain this?
Polisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.
Kamanda wa Polisi Mkoa Juma Ndaki amesema Mwalimu huyo alimpitisha Mwanafunzi dirishani na kumuingiza Ofisi ya Mwalimu Mkuu kisha kufunga mlango wa kutokea na yeye akazunguka dirishani na kuingia ndani ya ofisi hiyo.
Amesema baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakimwagilia maua pembeni waliona tukio hilo wakatoa taarifa kwa Viongozi wa Kijiji na Mwalimu akakamatwa akiwa na Mwanafunzi Ofisini na kufikishwa kituoni.
Ndaki amesema baada ya kufikishwa kituoni baadhi ya Wananchi walivamia Kituo hicho kwa lengo la kutaka kumuua na kukazuka vurugu zilizosababisha gari la Polisi kupigwa mawe na kunusurika kuchomwa moto, Watu 42 wanashikiliwa kutokana na vurugu hizo.
ualimu imekuwa ni kada ya kihuni sana,matukio yanayowahusisha watu wa taaluma hii ni ya kinyama na kijinga sana,ya kipumbavu mno,hawa ndyo wanashinda na watoto wetu siku tano za wiki,je,,,,watt wetu wako ktk mikono salama???wapumbavu sanaPolisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.