Mara: Miradi Mikubwa ya Madaraja na Maji Kata ya Mkoma, Rorya Yakamilika

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,904
945
"Na mimi nitamsemea kwamba kiukweli Ndugu Niwaombe sana watu wa Mkoma na watu wa Rorya tumuunge sana mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Niwaombe sana!" - Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Wakati naanza ubunge wangu niliahidi maeneo mengi moj ni eneo hili (Mkoma) kupata Maji Safi na Salama, hilo tulishamaliza na siyo changamoto. Pili ni kupata madaraja mawili, Daraja la mto Moli na mto wa Maya" - Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Wakati naahidi kupata madaraja mawili kuna watu walinifuata wakasema niache kuahidi maana hii kitu, huu mfupa ulishamshinda kila mtu unavyosema utatuharibia. Nikaenda Bungeni nikasimama ninyi mkanitia moyo mkamtanguliza kijana wa kimasikini mwenzenu, leo ni historia tuna madaraja Mawili ya mto Maya na Mto Moli yamekamilika" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Wakati naomba ridhaa tulikuwa na daraja la pili ambalo na lenyewe ni historia, Kowaki. Wananchi walikuwa wanafia pale, leo watu wanavuka, hakuna shuda yoyote, tumemaliza na tumepunguza vifo maeneo yote " - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Wakati naomba kura Roche na Kitembe tulikuwa na daraja linaunganisha Kata ya Roche na Kitembe mto Sakawa, ilikuwa unazungukia Usidi ndiyo uende upande wa pili. Nikazungumza nikiwa Roche nikaambiwa ukisimama hapa usizungumze daraja maana haliwezekani" - Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Niliposimama nikaanza kwa kusema nitajenga Daraja, nilikuwa naahidi kwasababu najua ndiyo jukumu la Mbunge, leo napozungumza, juzi Mwenge wa Uhuru tumepita kwenye daraja la Mto Sakawa lililoombwa kwa zaidi ya miaka 40, sasa wananchi wa Roche na Kitembe wanapita na hakuna shida" - Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Ndani ya Miaka Miwili ni madaraja niliyoweka mkononi mwangu Wakati naomba ridhaa, nilikuwa naambiwa haiwezekani. Tumeweka alama, tumewasaidia wananchi, tumepunguza vifo, tumeunganisha wananchi wa pande zote, tumetengeneza urahisi wa biashara za wananchi na tumepunguza adha ya akina Mama Wakati wanasafiri kutoka eneo Moja kwenda upande wa pili" - Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Maji, wakati naomba ridhaa Salanya na Inge hazikuwa na Maji. Mama yetu Samia Suluhu Hassan akaridhia Milioni 500 kutoka fedha za UVIKO-19, leo Maji yanatoka na yamevutwa kutoka Ziwa Victoria" - Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

 

MBUNGE JAFARI CHEGE: MIRADI MIKUBWA YA MADARAJA NA MAJI KATA YA MKOMA, RORYA IMEKAMILIKA

"Na mimi nitamsemea kwamba kiukweli Ndugu Niwaombe sana watu wa Mkoma na watu wa Rorya tumuunge sana mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Niwaombe sana!" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Wakati naanza ubunge wangu niliahidi maeneo mengi moj ni eneo hili (Mkoma) kupata Maji Safi na Salama, hilo tulishamaliza na siyo changamoto. Pili ni kupata madaraja mawili, Daraja la mto Moli na mto wa Maya" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Wakati naahidi kupata madaraja mawili kuna watu walinifuata wakasema niache kuahidi maana hii kitu, huu mfupa ulishamshinda kila mtu unavyosema utatuharibia. Nikaenda Bungeni nikasimama ninyi mkanitia moyo mkamtanguliza kijana wa kimasikini mwenzenu, leo ni historia tuna madaraja Mawili ya mto Maya na Mto Moli yamekamilika" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Wakati naomba ridhaa tulikuwa na daraja la pili ambalo na lenyewe ni historia, Kowaki. Wananchi walikuwa wanafia pale, leo watu wanavuka, hakuna shuda yoyote, tumemaliza na tumepunguza vifo maeneo yote " - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Wakati naomba kura Roche na Kitembe tulikuwa na daraja linaunganisha Kata ya Roche na Kitembe mto Sakawa, ilikuwa unazungukia Usidi ndiyo uende upande wa pili. Nikazungumza nikiwa Roche nikaambiwa ukisimama hapa usizungumze daraja maana haliwezekani" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Niliposimama nikaanza kwa kusema nitajenga Daraja, nilikuwa naahidi kwasababu najua ndiyo jukumu la Mbunge, leo napozungumza, juzi Mwenge wa Uhuru tumepita kwenye daraja la Mto Sakawa lililoombwa kwa zaidi ya miaka 40, sasa wananchi wa Roche na Kitembe wanapita na hakuna shida" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Ndani ya Miaka Miwili ni madaraja niliyoweka mkononi mwangu Wakati naomba ridhaa, nilikuwa naambiwa haiwezekani. Tumeweka alama, tumewasaidia wananchi, tumepunguza vifo, tumeunganisha wananchi wa pande zote, tumetengeneza urahisi wa biashara za wananchi na tumepunguza adha ya akina Mama Wakati wanasafiri kutoka eneo Moja kwenda upande wa pili" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

"Maji, wakati naomba ridhaa Salanya na Inge hazikuwa na Maji. Mama yetu Samia Suluhu Hassan akaridhia Milioni 500 kutoka fedha za UVIKO-19, leo Maji yanatoka na yamevutwa kutoka Ziwa Victoria" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya.

CCM haiziki hata bure, hayo madaraja ilitakiwa yajengwe miaka ya 1970s huko.Wapumbaze wajinga wenzio.
 
Back
Top Bottom