Uchaguzi 2020 Mara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Gabriel Mwita all the way kamuondoe yule mjinga aliyetaka bunsen burner za plastic kipindi kile.
 
funguo za maendeleo yako
Bro ulishawahi fika Kishapu, kongwa, Mtera?? Halafu ulishafika Moshi mjini??

Maendeleo ya maeneo hayo ulifanya comparison na Moshi hayaaingii hata robo, si Elimu, miundombinu, Afya

Hivyo basi maendeleo ni mind za watu kwanza kabla ya Mwanasiasa.

Hii point ya maendeleo sijui yanaletwa na Chama gani ni uzush na uongo..!!
 
Dodoma kuna maendeleo ?
Miaka ya Nyuma nilipata kutembelea Wilaya za Dodoma aisee sikuwahi kufahamu kama kuna ndugu zetu wa Tz wanaishi kwa shida vile.

Kwa waliopata kwenda Mtera, Kongwa, Bahi, Kondoa, Chamwino, Buigiri

Aisee hali ni mbaya sana..!! Ukizingatia hawajawahi kuisaliti CCM..

I will be back next yearJanuary nitaenda tena Dom, nasikia Magu amefanya mambo makubwa sasa sijui kama hayo maeneo niliyotaja megusa
 
Ikulu ipo chamwino, unapita pale buigiri.

Bado ni kijijini, ndo kwaanza wanaanza kujenga nyumba za tofali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada Nina uhakika anaweza kurudi bungeni Ni mpinzani ambaye ana siasa tofauti na Wana CHADEMA wengi na hii itamsaidia sana.Amekuwa mtetesi wa Kweli kwa wanabunda Hana siasa za majitaka Kama wanavyofanya wanachama wenzake ndio maana hata kuongelewa humu aongelewi na mashabiki wa chadema.
 
Mpaka sasa tarime kumeanza kutokea vurugu kufuatia uchaguzi uliofanyika jana, watu wanadai kutaka kutangaziwa mshindi halali wa ubunge.

Machuano Ulikua kati ya John Heche (Hhadema) na waitara (CCM).
 
Back
Top Bottom