Mara hii lugha ya mama imebadilika hivi?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,425
1764908319363.png
Baada ya kuangukia madaraka kama wakenya ambayo wangesma, Samia Sulubu Hassan alliahidi kuifungua Tanzania kana kwamba ilikuwa imefungwa. Alianza kuvaa barakoo tofauti na mtangulizi wake.

Alianza lugha ya economic diplomacy au diplomasia ya uchumi.

Aliongelea demokrasia, maridhiano na mambo mengi mazuri bila kujua kuwa kumbe nyuma pazia na rohoni alimaanisha vinginevyo1
Alimwagia sifa hakuna mfano tusijue ataishia kulaumiwa hadi kufananishwa na kuitwa Idii Amina Mama!

Tulianza kusikia nyimbo, pambio na sifa lukuki za mama.

Ghafla bin vu, mambo yakaanza kubadilka japo si wengi waliogutuka. Si ni pale alipokujana falsafa ya uchawa ambayo imetuharibia taifa.

Taratibu Samia akaanza kutoa lugha za. kujisifu hadi kujiona bora baada ya kulewesha na sifa za kinafiki.

Mama mama mara mama kafanya hili. Mama kafanya llie hadi kufikia kuambiwa kuwa pesa ya miradi alikuwa aktioa mama na siyo serikali wala rais kwa niaba ya wananchi.

Ni mengi kusema ukweli. Ilifikia mahali Samia akawa Tanzania na Tanzania ikawa Samia sawia.

Toka kuvutia wawekezaji na kutafuta pesa nje na kujigamba kuwa tuna raslimali za kutosha.

Hivyo, wafadhili tuliokuwa tukiwafuatafuata na kuwarai hawatutishi tena. Who are they?
Kwa ufupi, naona kakigeugeu katika yote.

Sijui tutaishia wapi yarabi!!
1764908364603.png
 
View attachment 3511415
Baada ya kuangukia madaraka kama wakenya ambayo wangesma, Samia Sulubu Hassan alliahidi kuifungua Tanzania kana kwamba ilikuwa imefungwa. Alianza kuvaa barakoo tofauti na mtangulizi wake.
Alianza lugha ya economic diplomacy au diplomasia ya uchumi.
Aliongelea demokrasia, maridhiano na mambo mengi mazuri bila kujua kuwa kumbe nyuma pazia na rohoni alimaanisha vinginevyo1
Alimwagia sifa hakuna mfano tusijue ataishia kulaumiwa hadi kufananishwa na kuitwa Idii Amina Mama!
Tulianza kusikia nyimbo, pambio na sifa lukuki za mama.
Ghafla bin vu, mambo yakaanza kubadilka japo si wengi waliogutuka. Si ni pale alipokujana falsafa ya uchawa ambayo imetuharibia taifa.
Taratibu Samia akaanza kutoa lugha za. kujisifu hadi kujiona bora baada ya kulewesha na sifa za kinafiki.
Mama mama mara mama kafanya hili. Mama kafanya llie hadi kufikia kuambiwa kuwa pesa ya miradi alikuwa aktioa mama na siyo serikali wala rais kwa niaba ya wananchi.
Ni mengi kusema ukweli. Ilifikia mahali Samia akawa Tanzania na Tanzania ikawa Samia sawia.
Toka kuvutia wawekezaji na kutafuta pesa nje na kujigamba kuwa tuna raslimali za kutosha. Hivyo, wafadhili tuliokuwa tukiwafuatafuata na kuwarai hawatutishi tena. Who are they?
Kwa ufupi, naona kakigeugeu katika yote.
Sijui tutaishia wapi yarabi!!
View attachment 3511417
Madaraka yamemlevya, kuona wale watu muhimu wote amefanikiwa kuwahonga now she feels untouchable.
 
Mimi binafsi sikuwa na imani na huyo maza! Yaani tangu ile siku anaapishwa nilijua tu kimetulamba! Hata marafiki zangu niliwaambia lakini wakabisha! Trust me when i say "A WOMAN WAS CREATED TO LEAD A FAMILY, NOT A NATION" kama unabisha, nambie kiongozi mwanamke ambae alikuwa na full power, wa taifa lolote ambae aliwahi kuliongoza taifa lake vizuri bila kusababisha maafa makubwa! Ukweli mchungu ni kuwa mwanamke hapaswi kuongoza taifa! Kama una hoja ya kunipinga unakaribishwa huenda nikabadili mtazamo!
 
Mi naona watu wake ndio walimuharibia.
Kuendeleza siasa za utekaji was the red light to her. Kiburi. Kutosikia malalamiko ya watu ili kua inampeleka pabaya.
Tamaa ya Mali kwa Wana familia ndio imemdidimiza.
Pia kupokea sifa Toka kwa machawa ilimfanya kuamini anapendwa na watu wake.
 
Mimi binafsi sikuwa na imani na huyo maza! Yaani tangu ile siku anaapishwa nilijua tu kimetulamba! Hata marafiki zangu niliwaambia lakini wakabisha! Trust me when i say "A WOMAN WAS CREATED TO LEAD A FAMILY, NOT A NATION" kama unabisha, nambie kiongozi mwanamke ambae alikuwa na full power, wa taifa lolote ambae aliwahi kuliongoza taifa lake vizuri bila kusababisha maafa makubwa! Ukweli mchungu ni kuwa mwanamke hapaswi kuongoza taifa! Kama una hoja ya kunipinga unakaribishwa huenda nikabadili mtazamo!
Ni Bakwata tu baada ya kushiba ubwabwa ndiyo watapinga hiki ulichokisema hapa.
 
Back
Top Bottom