pemba bado maskini sana kuna haja ya serikali kuwa makini na hali hii la sivyo itapgiwa chini pia nazan kumfukuza mzee moyo bila kujali wafuas wake na himid walkosea sana
Itawakost kuna watu wameumbwa ili kukosoa serkali like moyo ...warioba etc kila nchi wapo na ni kioo kzur kwa serkali kutumia kujiangalizia na kuwafukuza ni kosa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.