Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Wanakulaga bangi wenzio sio kuvutaHivi ndugu za watu wa Mara mna tatizo gani lakini, maana kuua rahisi rahisi tu. Ila uwa nawakubali sana ukiwa na rafiki mkurya kama ni rafiki yako jua ni rafiki wa kweli.
Aah na wamepinda kwelikweli, nawaona hapa jobMi ndo mana sipendi wakurya
Naona kama akili zao sio nzuri
Hashindwi kukufanya lolote,Wana spirit ya ukatili hivi.
Juzi hapa nasoma habari jamaa kammwagia mkewe maji yalokuwa yanachemka kiss kachelewa kumpikia ugali..
Kuna mmoja alimkatalia binti mimba.binti akafanya intelijensia hadI akapajua kwa jamaa,kafika ghafla kazama ndani jamaa haamini.zogo likaanza.Aah na wamepinda kwelikweli, nawaona hapa job
Mmmh kweli makatili duuh!Kuna mmoja alimkatalia binti mimba.binti akafanya intelijensia hadI akapajua kwa jamaa,kafika ghafla kazama ndani jamaa haamini.zogo likaanza.
Halafu jamaa ni wale askari wa mambosasa,alivua ile mkanda wa sare zao alimpiga vibaya binti wa watu.watu mtaani tunasikia mayowe ya nguvu,mbio tukamsaidie tunakuta binti anapigwa.jamaa kwa aibu ya Watu akaacha,binti akafunguka yote jamaa ikabidi ahame kwa aibu hata kodi haijaisha...
HiiMmmh kweli makatili duuh!
Na hawako romantic kabisa, ni ubabe kwa kwenda mbele
Huyu wa job yeye kila siku anamzibua mke wake mingumi na miteke, kisa mke kuhoji jamaa kurudi saa 9 usiku every day
Halafu linajisifu hapa job ukatili wake ptuu
Yes dear!Hii
Anasimulia hayo matendo yake kwenu na kujisifia?
Yes dear!
Na mke wake tuko nae ofisi moja hana hata raha masikini
Sio wakurya wote jamani,others tuko sawa kabisa.Yes dear!
Na mke wake tuko nae ofisi moja hana hata raha masikini