Mapya yaibuka sakata la mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi

wengine wamehukiwa juzi kunyongwa hawa bado wanamkinga muuaji asionekane? Hayo si sehemu ya majukumu ya Askari shupavu , wazalendo na wanaojua kazi zao. Askari makini na shujaa anatambua wajibu wake yuko tayari kumkamata hata bosi wake pindi akiwa na ushahidi wa ukiukwaji anaoufanya je si zaidi kwa huyu muuaji?

Hahahahah wrong book in a right cover.... huna uzoefu wa muvi za bongo huenda ikawa anaeletwa pale siye
 
IMG_4781.JPG

Mtuhumiwa wa mauwaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoa wa Iringa Daudi Mwangosi , askari mwenzao mwenye namba G2573 Pasificus Cleophace Simoni (23) akiingia katika gari la polisi lenye namba za usajili PT 1404 huku ulinzi ukiwa umeimarishwa kuzuia wanahabari wasipige picha.

Mbona anayeingia kwenye gari ni mwanamke?

Angalia mtu kama wa nne hv kutoka kwa aliyevaa kofia ya rangi ya mabwepande amekupa mgongo anaingia kwenye mlango wa cabin ndiye anayeongelewa.
 
Kiutaratibu kabla hujapelekwa mahakamani lazima ushitakiwe kijeshi. Kwa maneno mengine huyo tayari ameshavuliwa upolisi

ujui lolote wewe kaa kimya 2.....au unaongea kulingana na ukubwa wa mdomo wako.
 
Watamkinga mpaka watachoka tu, manake itatajwa sana kabla ya kuanza kusikilizwa.


Hawa jamaa ndo maana wanacheleweshewa mishahara hadi tarehe 45. Kuwa tayari kutumika kwa maslahi binafsi ya watu au kikundi cha watu kunawafanya wadhalilike. Na itakuwa hivyo mpaka...
 
Hawa jamaa ndo maana wanacheleweshewa mishahara hadi tarehe 45. Kuwa tayari kutumika kwa maslahi ya watu binafsi au kikundi cha watu kunawafanya wadhalilike. Na itakuwa hivyo mpaka..
 
hivi ni sawa kwa mhalifu kufichwa sura yake, na alipokua kizimbani pia walifanya hivyo?

jamani jf why huyu mtuhumiwa yupo chini ya polisi? Si anatakiwa atokokea mahabusu ya magereza? Polisi wanampango gani na huyu mtuhumiwaa?? Hiyo kazi wawachie jeshi la magereza waendelelee na shughuli nyingine, kuendelea kukaa mikononi mwa jeshi la polisi anaendelea kulichafua. Waache sheria ichukue mkondo wake. Mbona watuhumiwa wengine tunaona wakiletwa na mageraza? Polisi wanaficha nini??
 
Back
Top Bottom