glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,019
- 1,411
Kuna uwezekano maana naona na gari walilotumia wauaji limekamatwa nafikiri kwa sasa litakuwa limefikishwa Dar. Lilichukuliwa CMC ni Toyota Hilux rangi ya bluu
Wanatajana humo ndani. ...Wapelelezi waga nawaheshimu sana, maana hilo gari nani atakuwa aliliona siku ya tukio, au mtoto wa marehemu
Gari iliyokamatwa ni range evoque ambayo imeenda dar trip nyingi na mariamWapelelezi waga nawaheshimu sana, maana hilo gari nani atakuwa aliliona siku ya tukio, au mtoto wa marehemu
Mtu kama Miriam una full mihela utakuwa unawasiliana na beki3 ili iweje???? na navyojua mwanamke akiwa fogo huwaga wana nyodo kishenzi...simple logic alikuwa anatafuta Info's + daily program ya Anneth ili amnase..Alikua anaongea na housegirl nini kila cku cmu zaidi ya kumi anampigia.hata cku ya mauaji aliongea nae zaidi ya cmu kadhaa inaonekana nyie hamjui chochote...hata hawara yke magoma yuko ndani
Mkuu huyo Magoma ni hawara yake Miriam, beki 3, or anneth????Kazi kwelikweli police wamkamate bila sababu si itakua ujuha huo.cnc ameuawa upelelezi umefanyika n yeye kukamatwa
MariamMkuu huyo Magoma ni hawara yake Miriam, beki 3, or anneth????
Morogoro type hiyo...wanapenda kitonga sana, hebu ona sasa anaunganishwa kwenye mauaji!!Mariam
Ni kijana wa chato mzee wa kitonga balaaMorogoro type hiyo...wanapenda kitonga sana, hebu ona sasa anaunganishwa kwenye mauaji!!
inawezekana mama saimon alikuwa anamuuliza housegirl movement za aneth ili aweze kupanga mikakati ya kumuua vizuri zaidi...Hata huyo hause girl usikute alikuwa anaropoka tu bila kujua nini kitampata Aneth..haya binti housegal yuko dar kwa anety,huyu mama saimon yuko arusha alimshauri kivipi ukichukulia huyo housegal aliletwa kuja kufanya kazi kwa anety akitokea kwao anety?,connection ipo kweli kati ya mama saimon na huyu housegal?.
The only way polisi wataprove maneno ya housegal ni kuangali rekodi za simu ya huyo houselgal na mama saimon kama kweli kuna connection.
Simu ya huyo housegal ndo inaweza sana kusaidia kwani kumbukumbu zote za watu aliokuwa akiwasiliana nao zinaweza kutoa jibu
Ndoto yake ya kurithi mali za Erasto naona imeyeyuka..Ni kijana wa chato mzee wa kitonga balaa
Au inawezekana house girl akasetiwa awe anaongea mara nyingi na Miriam ili tukio likifanyika aunganishwe.haya binti housegal yuko dar kwa anety,huyu mama saimon yuko arusha alimshauri kivipi ukichukulia huyo housegal aliletwa kuja kufanya kazi kwa anety akitokea kwao anety?,connection ipo kweli kati ya mama saimon na huyu housegal?.
The only way polisi wataprove maneno ya housegal ni kuangali rekodi za simu ya huyo houselgal na mama saimon kama kweli kuna connection.
Simu ya huyo housegal ndo inaweza sana kusaidia kwani kumbukumbu zote za watu aliokuwa akiwasiliana nao zinaweza kutoa jibu
Amefanya jambo lakijinga sana...unaHela halafu unafanya makosa yakibwege namna hiyo..Nway huenda nae zake zilikuwa zimefika...MTU anaejua mambo hayo na Hela anayo yuko tayari kuagiza wazee wakazi popote Duniani wakakufanyia kz yako NO..trace wala nini Eti...unamtumia Back 3 duuMtu kama Miriam una full mihela utakuwa unawasiliana na beki3 ili iweje???? na navyojua mwanamke akiwa fogo huwaga wana nyodo kishenzi...simple logic alikuwa anatafuta Info's + daily program ya Anneth ili amnase..
Hao watu roho zao za kishetani, maskini aneth alikimbilia had chooni wakavunja mlango, ka haitoshi na kubaka juu, Dada ake alihojiwa na Gea habibu nikashindwa kuvumilia aisee. Kuna watu waovu aisee.
Au inawezekana house girl akasetiwa awe anaongea mara nyingi na Miriam ili tukio likifanyika aunganishwe.
Kuna mbinu nyingi za kumfanya aongee na Miriam, umbea kumhusu Anethe anamsema vibaya, au familia inavyomsema vibaya nk.
Lakini kama itakuwa Miriam mwenyewe kafanya hili basi sio Mtu makini.
Ila kwa sasa ni roumers tu na hukumu kabla ya hukumu
Anaenda kunyea debe, huku akiziota Mali za erasto..sipatii picha huyo Magoma alivyokuwa anaweka pozi la kibilionea coming soon..Ndoto yake ya kurithi mali za Erasto naona imeyeyuka..
Yaani hawa watetezi wa Ma sai watarukwa na akili, MTU anaona real pic, lakini anajitoa ufahamu?!?!...eti beki 3 kasetiwa khaaa?!?!!Kwanini uumize kichwa ivyo mkuu na assumptions kibao. Acha wapelelezi wafanye kazi yao. We subiria matokeo tu.
Kuongea na house girl sio issue, issue walion gea nin!?Dada mariam amekutwa anawasiliana na housegirl sana.hata kabla ya anneth kuuawa aliongea na housegirl zaidi ya mara 10.....jiulize tu alikua anaongea nae nini kila cku
Kama ni hivyo na wewe usingehangaika na hukumu/assumption. Tupo kwenye mjadala, matokeo ya upelelezi baadaye. Labda pia CID`s wanapita hapa kupata clueKwanini uumize kichwa ivyo mkuu na assumptions kibao. Acha wapelelezi wafanye kazi yao. We subiria matokeo tu.
Hahaha si watetezi. Ni mnakasha tu, tunajaribu kugusa angle za possibilities kwa mtazamo tu. Hata wewe huna hakika 100% nani amehusika kama ambavyo Polisi hawana, ndiyo maana hajapelekwa Mtu mahakamani.Yaani hawa watetezi wa Ma sai watarukwa na akili, MTU anaona real pic, lakini anajitoa ufahamu?!?!...eti beki 3 kasetiwa khaaa?!?!!