Mapya yaibuka kuhusu baba wa diamond

Nukta haziungani hapa! Mama kupewa ujauzito na Salum na kuachwa. Kisha anapata mpenzi mwingine, Abdul. Anasiyemulia kisa ni MDOGO wa Nasibu (wa baba mmoja). Ina maana mama alirudi tena kwa Bw. Salum na kupata ujauzito wa huyo mdogo? Au nijihesabu na mimi ni miongoni mwa wale wagumu kuelewa?
Kwa kawaida sipendi kufuatilia habari za namna hii lakini nimelazimika kutoa maoni yangu ili hili liwekwe sawa na ndipo "majaji" watoe hukumu ya haki.
Hata hivyo, huyo baba mlezi kama ni kweli alilea ujauzito na baadaye mtoto, ana haki ya kuitwa baba. Jamani, kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana!

acha kua kchwa maj wewe,huyo n mdogo wa diamond kwa baba m1 mama ndo mbal mbal,hujaelewa nin xaxa.?
 
uyo ni kama baba mzazi kamlea toka akiwa tumboni,mnataka amuite uyo baba kova au mabwepande! dimond lazim amuite uyo baba na amueshimu

mkuu usifananishe kabisa mzazi wa mtu na mabwepande,mabwepande ni noma wanang'oa kucha kwa spoku.
 
Wamama walikuja huku machozi yanawatoka wengine wakisema "si mnaona tunafanana", wamama sometimes wapo complicated kwani mtoto akilelewa na baba miaka yote mpaka akienda kwa mama akiwa mtu mzima ikitokea amepata mafanikio hakuna shida ila ngoja alelewe na mama alafu akapata mafanikio kama baba atamgusa.


ndiyo maana ni lazima uwe mwangalifu kuoa mwanamke ambaye tayari ana watoto.
 
Back
Top Bottom