Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,077
- 136,465
Hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana!
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno.
Na mifano yake ni mingi sana.
Mtu unaweza kuonyesha mfano wa yule msemaji wa jeshi aliyedai kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani, madai ambayo kichekesho.
Mwingine anaweza kuonyesha kauli ya Rais aliposema kuwa Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko Marekani. Hii ni zaidi ya kichekesho. Ni kituko cha mwaka.
Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Labda ni mimi tu ndo ambaye sielewi. Labda ni ukilaza wangu tu.
Hivi inawezekanaje kumfukuza mtu kazi ambayo alishaiacha kitambo? Ni mtindo wa wapi huu?
Ni wapi hapa duaniani ambapo serikali hufukuza watu kazi ambao walishaacha kufanya kazi kwa hiari yao wenyewe?
Sijui nyie wenzangu mnaionaje hii serikali, lakini kwangu mimi naiona ni serikali iliyofilisika kabisa kiakili na kimaarifa.
Tukio la jana la Rais kutengua uteuzi wa Humphrey Polepole, lawezekana likawa ni tukio la kihistoria duniani kote.
Hata Idi Amin sidhani kama aliwahi kufanya hivyo 🤣. And he was the idiot of all idiots.